Lavrov wa Urusi awavunja mbavu wajumbe G20 India

Lavrov wa Urusi awavunja mbavu wajumbe G20 India

Free

Chanzo cha hiyo habari kinajulikana mrengo wake, ni vigumu kuaminika.

Kwanini huyo Marekani asiidhoofishe kwanza China ambaye ni mpinzani wake mkubwa kwa sasa na tajiri kuliko Urusi ?
Inaelekea wewe ni shabiki wa vyombo vya habari vya magharibi, ambavyo kwenye hii vita viko biased kuliko kawaida!
Kuhusu China vs Russia nani aanze kudhoofishwa, hilo ni suala la choice of priority kwa marekani. Russia amekuwa mpinzani wa marekani kwa masuala ya kivita kwa muda mrefu, kwa hiyo kudhoofisha Russia kwanza kabla ya China makes more sense. Ukiidhoofisha Russia kiulinzi na kiuchumi (kwa vikwazo), unabaki na adui mmoja tu ambaye ni China, yeye ni weak kiulinzi, unapambana naye kiuchumi kwa urahisi! Upo hapo?
 
Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.

Katikati ya uhasama usiothamini tena maisha ya watu wengine, Urusi iliingizana G20 mkutanoni na kichekesho cha mwaka:

View attachment 2537591

Kumbe Urusi inapambana kuisimamisha vita iliyoanzishwa na Ukraine dhidi yake. 🤣🤣

Kwamba huo haswa ndiyo uelewa wa akina Yericko Nyerere na wale warusi wa pale Buza.

Ama kweli duniani hakutaisha vituko.

Endelea kuongelea maendeleo ya barabara ya Rusahunga- Rusumo ndo unachokiweza haya mambo ya geopolitics yako juu ya uwezo wako
 
Elewa Kiingereza wewe si kurukia rukia mambo tu!
Waziri wa Russia anasema vita iliyoanzishwa kwa kuitumia Ukraine!
Huyo Waziri ana akili kubwa sana usidhani kwa hicho kichwa chako cha kufugia nywele utamuelewa!

Neno!
Wapo wengi sana design hiyo wakifikiri zimo kumbe mbumbu tu[emoji35]
 
Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.

Katikati ya uhasama usiothamini tena maisha ya watu wengine, Urusi iliingizana G20 mkutanoni na kichekesho cha mwaka:

View attachment 2537591

Kumbe Urusi inapambana kuisimamisha vita iliyoanzishwa na Ukraine dhidi yake. 🤣🤣

Kwamba huo haswa ndiyo uelewa wa akina Yericko Nyerere na wale warusi wa pale Buza.

Ama kweli duniani hakutaisha vituko.

Amezungumza gibberish alikuwa keshapiga Stolichnaya
 
Mtoa mada ebu soma hiyo habari labda itakusaidia kujua context ya kauli ya Lavrov. Nina assume unajua hiyo lugha.
Sputnik si ni shirika la serikali ya Urusi? Yani lini TBC iipinge serikali ya Tanzania.
Sputnik huenda na beat la serikali
IMG_20230221_113900.jpg
 
Pole mtoa mada, nadhani hiyo kauli ya kiusalama imezidi uwezo wako wa kufikiri kwa mbaaaali sana.
Usalama gani?....watoto wa masikini wanakufa wao wanakula burger tu....hii vita haina justification....ifike mahali binadamu tumuogope Mungu.
 
Ebu soma hiyo habari nimeweka hapo juu ili uelewe context ya vita ya Ukraine. Kwa ufupi, vita imepikwa na marekani kwa lengo la kutaka kuidhoofisha urusi ili waweze kuitawala dunia kwa urahisi kupitia kitu kinaitwa New World Order! Urusi wameingia vitani ili kujihami!
Kwanini Urusi wasiivamie Marekani ambayo wanasema ndio iliwaanzishia vita? Unataka kumaanisha Urusi ni matahahira wanaanzishiwa vita na huyu, wanaenda kumpiga yule.

Na bado hujajibu swali lake, Ukraine ndio iliivamia Urusi?
 
Elewa Kiingereza wewe si kurukia rukia mambo tu!
Waziri wa Russia anasema vita iliyoanzishwa kwa kuitumia Ukraine!
Huyo Waziri ana akili kubwa sana usidhani kwa hicho kichwa chako cha kufugia nywele utamuelewa!
Hakuna mtu mwenye akili atatumia vita kama ndio njia sahihi ya kutatua matatizo baina ya Nchi mbili...kati ya vita ya kijinga na hii ni moja wapo kama zile za USA na ukaguzi wa siraha za Nyuklia..
 
Elewa Kiingereza wewe si kurukia rukia mambo tu!
Waziri wa Russia anasema vita iliyoanzishwa kwa kuitumia Ukraine!
Huyo Waziri ana akili kubwa sana usidhani kwa hicho kichwa chako cha kufugia nywele utamuelewa!

Kiingereza utakielewa wewe kuliko BBC? Alichosema Lavrov ni hiki hapa:

Screenshot_20230305-052350~2.jpg

Kama huelewi translator zipo au tafuta mtu akufasiriye.

Kwamba warusi wa Buza mmeamua kuja na tafsiri yenu? 🤣🤣
 
Wewe na wale waliocheza haziwatoshi kabisa. Unatakiwa utafakari upya alivyokuwa anamaanisha.
 
Back
Top Bottom