Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Alichomaanisha huyo Waziri na lugha iliyotumika hukuielewa. Hiyo vita Ukraine ni chambo.Kwamba? 🤣🤣
Nikurudishe nyuma kidooogo tu, kipindi DT anaingia madarakani pale US, democratic walilalamika kuwa Urus kaingilia mfumo wao na kumuwezesha DT kushinda.
DT na Republic yake wakadai Joseph B anakishinikiza chama chake kusema hivyo kwakuwa tu kijana wake anafanya biashara nchini Ukraine hivyo anahisi huenda Urus ikawa kikwazo kwa kijana wake kuendelea na biashara yake.
Hapo nimekurudisha nyuma kidoooooogo sana.
Km utakuwa na nia ya kuelewa elewa,km una mgomo wa kuelewa nami sina nia ya kukulazimisha.