T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Sasa kama hawako tayari si waacheUko tayari kwa vita vya nuklia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama hawako tayari si waacheUko tayari kwa vita vya nuklia?
Pole mtoa mada, nadhani hiyo kauli ya kiusalama imezidi uwezo wako wa kufikiri kwa mbaaaali sana.
MsoHawa wanaoshawishiwa na wamarekani na wachumba zake kuichukia urusi ikosiku watashawishiwa kuwa mashoooo...
Marekani ni wapuuzi na wanapaswa kukutana na visiki kama Putin ndowajue si kila upuuzi wao utapokelewa na dunia.
Hiroshima inafaa irudishwe Nyuyoku nadhani seputemba ileveni haikufundisha vyema. Tuikaripie minchi chokozi inayotaka kutawaka dunia
vita nimbaya lakini kutawaliwa nikubaya zaidi
Msomi bila neno ushoga huwezi kuchangia mada.Kwahiyo waafghanstan walipokua wanapigana na warusi walikua mashoga pia???Hawa wanaoshawishiwa na wamarekani na wachumba zake kuichukia urusi ikosiku watashawishiwa kuwa mashoooo...
Marekani ni wapuuzi na wanapaswa kukutana na visiki kama Putin ndowajue si kila upuuzi wao utapokelewa na dunia.
Hiroshima inafaa irudishwe Nyuyoku nadhani seputemba ileveni haikufundisha vyema. Tuikaripie minchi chokozi inayotaka kutawaka dunia
vita nimbaya lakini kutawaliwa nikubaya zaidi
Mtoa mada wewe utakuwa umechangsnyikiwa fata huduma za kisaikolojia
Elewa Kiingereza wewe si kurukia rukia mambo tu!
Waziri wa Russia anasema vita iliyoanzishwa kwa kuitumia Ukraine!
Huyo Waziri ana akili kubwa sana usidhani kwa hicho kichwa chako cha kufugia nywele utamuelewa!
Vita ya Ukraine imeanzishwa kama geresha kwa ajili ya UVAMIZI DHIDI YA URUSI, tunachofanya ni kuzuia uvamizi huo. Haya sasa....
Endelea kuongelea maendeleo ya barabara ya Rusahunga- Rusumo ndo unachokiweza haya mambo ya geopolitics yako juu ya uwezo wako
Yani wewe mtoa mada inaelekea kwenye masuala ya kimataifa ni bwege mtozeni kabisa. Kama huwezi kuelewa ni nini Lavrov anamaanisha kwa kusema hivyo, sijui kama sisi tunaweza kukuelewesha.
Jamiiforums Imeviwa
Mtoa mada Uwezo wake Unaishia kwenye Mada Za Dadapoa Huku Achana Nako
Kwa hili uko wrong side!
Msamehe.Pole mtoa mada, nadhani hiyo kauli ya kiusalama imezidi uwezo wako wa kufikiri kwa mbaaaali sana.
Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.
Katikati ya uhasama usiothamini tena maisha ya watu wengine, Urusi iliingizana G20 mkutanoni na kichekesho cha mwaka:
View attachment 2537591
Kumbe Urusi inapambana kuisimamisha vita iliyoanzishwa na Ukraine dhidi yake. 🤣🤣
Kwamba huo haswa ndiyo uelewa wa akina Yericko Nyerere na wale warusi wa pale Buza.
Ama kweli duniani hakutaisha vituko.
Msamehe.

Umezoea kusikiliza akili ndogo, haya waachie watu wenye grobal mindset
Hujui hata kusoma ns hujaelewa kitu
Mkuu Ungejikita kwenye udaku wa kina Feitoto, ugali kwa sukari, mambo serious kama haya achana nayo