Lavrov wa Urusi awavunja mbavu wajumbe G20 India

Elewa Kiingereza wewe si kurukia rukia mambo tu!
Waziri wa Russia anasema vita iliyoanzishwa kwa kuitumia Ukraine!
Huyo Waziri ana akili kubwa sana usidhani kwa hicho kichwa chako cha kufugia nywele utamuelewa!
Pumba tupu; kwa nini walimcheka? Unadhani nao hawajui kiingereza na hawana akili?

Kutoka kuwa na "Special Military Operation" hadi kuwa "War Against Us" ni flipping ya nguvu sana.

Halafu viongozi wa Magharibi waliwabembelea sana urusi waachane na vita ila wafanye diplomacyy lakini wao wakakimbilia special military operation nadhani wakitegemea kuwa watamrudisha Viktor Yanukovych madarakani kirahisi ili Ukraine iwe kama Belarus ila wakakumbana na kigingi.

Huyu Chief Spy wake aliyejaribu kumuonya Putin kuwa vita siyo nzuri alifanyiwa nini


Viongozi waliokwenda kumwomba Putina aachane na vita ni pamoja na hawa



 
How do you mean??
 
Wa afghanistan ndio hao wamarekani?? Jifunze taratibu zingatia wakati,wahusika,mahali na uhalisia!! Kaa hapo kwanza
Kivipi mjomba????Ina maana mwaka 1979 wale mujaheed waliokua wanapigana umoja wa Soviet nchini afghastan walikua wamarekani msomi????
 

Kajifunze kizungu vzr,Lavrov hakuwachekesha wajumbe,alichekwa "laughed at"not made them laugh!!
Jamaa alichekwa kwa kauri zake kwamba Urusi ilikuwa inazuia vita Ukraine.
 
Wa afghanistan ndio hao wamarekani?? Jifunze taratibu zingatia wakati,wahusika,mahali na uhalisia!! Kaa hapo kwanza
Umekwepa swali langu msomi.Kwahiyo hata wale mujaheedin waliokua wanapigana na urusi mchini afghastani kuanzia mwaka 1979 mpaka 1989 walikua mashoga?????Maaana kila anaepigana na urusi wewe unamuita shoga.Vp hao islamic mujaheedin walikua mashoga??
 
Kajifunze kizungu vzr,Lavrov hakuwachekesha wajumbe,alichekwa "laughed at"not made them laugh!!
Jamaa alichekwa kwa kauri zake kwamba Urusi ilikuwa inazuia vita Ukraine.
Umeisoma mada yote vizuri lakini? Au ndiyo kurukia treni kwa mbele? 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…