Jiwe alisema wastaafu waache kuwashwa washwa. Iweje huyu wa sasa anakubali kuburuzwa?WEWE una maoni gani?
Wananchi ndiyo mm na wewe hapa. Hebu tudadavue ili tupate kujua msingi wa lawama dhidi ya Kikwete.Wananchi wenyewe wanasema nini ?
Ndiyo tunataka tuelewe ni kwa vipi anavuruga nchi na ccm. Maana siyo rais wala mwenyekiti wa ccm. Anapitisha vipi ushawishi wake naajenda zake ktk taifa na ccm?Kikwete ndiye anayeivuruga nchi na CCM.
Kuelewa tu bila kueleeshwa ni ngumu. Mstaafu kajikalia zake nyumbani, hafla na mikutano anayohudhuria ni kwa mwaliko maalumu. Iweje awe shubiri?Kiufupi Yupo kwa maslahi ya taifa 70%,, maslahi binafsi 30%..pia ni lulu ya taifa lakin pia ni shubiri ya wapinzani wake....Elewa hvo.
Kuwala warembo kwa mwanaume mwenye pesa kama Kikwete siyo ajabu.
Mi binafsi naona tupo sawa tuWananchi ndiyo mm na wewe hapa. Hebu tudadavue ili tupate kujua msingi wa lawama dhidi ya Kikwete.
Kikwete anafanya hivyo kwa kuwa bi kilemba mwenyewe anataka na anaendekeza hivyo. Angelikuwa hataki Kikwete hana namna, angekuwa mpole kama enzi za jiwe.Unaweza kukuta mzee wa msoga anacheza na nyonyo za bi kilemba maana ni km yuko madarakani tu japo alisha pumzika
Ukumbuke mzee ni masta wa kuzichapa unaweza kuta anakunjua kunyanzi pale kwa kilemba maamuzi yakawa yanatokea bedKikwete anafanya hivyo kwa kuwa bi kilemba mwenyewe anataka na anaendekeza hivyo. Angelikuwa hataki Kikwete hana namna, angekuwa mpole kama enzi za jiwe.