- Thread starter
- #21
Kwani bi kilemba anabakwa? Si anatoa kwa hiari? Kwahiyo vyovyote iwavyo bi kilemba kayatakaUkumbuke mzee ni masta wa kuzichapa unaweza kuta anakunjua kunyanzi pale kwa kilemba maamuzi yakawa yanatokea bed
Kwani bi kilemba anabakwa? Si anatoa kwa hiari? Kwahiyo vyovyote iwavyo bi kilemba kayatakaUkumbuke mzee ni masta wa kuzichapa unaweza kuta anakunjua kunyanzi pale kwa kilemba maamuzi yakawa yanatokea bed
soma ujumbe vizuri hyo mialiko anayopewa wewe unafurahia? unadhani na wengine wanafurahia?kinyume chake ni shubiri kwani inakuwa na ujumbe...kama hujaelewa..sio lazima.Kuelewa tu bila kueleeshwa ni ngumu. Mstaafu kajikalia zake nyumbani, hafla na mikutano anayohudhuria ni kwa mwaliko maalumu. Iweje awe shubiri?
Ni kweli, KIKWETE hawezi kukwepa lawama Kwa haya yanayoendelea Kwa sababu yeye ndiyo kama baba mlezi kwenye nyumba ambayo baba amefariki Kwa ajali na mama Hana uwezo wa kuongoza familia lakini kuishia kumlaumu tu JK haitosaidia kitu ikiwa huyu mama ataachwa kuendelea kuongoza familia kama vile kuku aliyekatwa kichwa.Kikwete ni rais mstaafu, hana jeshi wala hamiliki kikundi cha kigaidi. Kwann analalamikiwa kuhusu mwenendo wa uongozi wa nchi? Lawama anazopewa Kikwete anastahili ama ni chuki binafsi toka kwa wabaya wake?
Rais aliyeko madarakani analazimika kufuata maagizo ama ushauri wa Kikwete? Kama jibu ni HAPANA, kwann asilaumiwe anayepokea ushauri ama maagizo haramu toka kwa Kikwete?
Hizi lawama anazopewa Kikwete kila mahali, nje na ndani ya chama chake chanzo chake ni nini?
Na je, tuko tayari kuona Kikwete analibananga taifa kwa maslahi yake? Hadhibitiki mtu huyu?
Tusijekuwa tunachezeshwa ngoma tusiyoijua!!
😄 ko kanogewa na mijeredi ndio maana mzee anapanga safu atakavyo yeye na wkt yuko nje ya systemKwani bi kilemba anabakwa? Si anatoa kwa hiari? Kwahiyo vyovyote iwavyo bi kilemba kayataka
Nataka kupata maelezo ya kina, ni kwa namna gani Kikwete mstaafu anaweza kuwa anayumbisha nchi kwa namna inayozungumzwa.Unamtetea Kikwete baada ya kulipwa bei gani?
Jakaya mrisho kikwete ndiye raisi pekee toka ccm ambaye ni zao la ccm. Alitoka chini kabisa ya chama na kukwea ngazi zote hadi kuwa raisi. Huyu anakijua chama chake haswa. Lakini ndiyo kwanza anashauri taratibu zikiukwe. Inashangaza sana!Jiwe alisema wastaafu waache kuwashwa washwa. Iweje huyu wa sasa anakubali kuburuzwa?
Siyo rahisi hivyoUkumbuke mzee ni masta wa kuzichapa unaweza kuta anakunjua kunyanzi pale kwa kilemba maamuzi yakawa yanatokea bed
Aliyeruhusu hili kufanyika ni Kikwete ama Samia?Hivi kambarage angeweza kuwaruhusu mkewe na mtoto wake wote wawe WABUNGE Kweli?
Huyo utasubiri Sana atakugongea 100 years believe me kwasababu ana kifua anajua kuhundle maneno na chuki za watu.Me nashangaa watu hofu zao badala hao wanaomchukia ndo wafurahie mzee umri unaenda na siku zake za kuishi zinakua chache..kwa sababu kama mnasema hamumpendi je amekula vingapi toka awe rais c NI vingi Sawa basi nachojua me binadamu ukishafika 70 Tu we hesabu anytime mara moyo sijui umeshtuka mara pressure hutoboi mzee..KIFO NI kifo
Muacheni mzee kikwete apumzike aenjoy Maisha yake ya uzeeni.Jakaya mrisho kikwete ndiye raisi pekee toka ccm ambaye ni zao la ccm. Alitoka chini kabisa ya chama na kukwea ngazi zote hadi kuwa raisi. Huyu anakijua chama chake haswa. Lakini ndiyo kwanza anashauri taratibu zikiukwe. Inashangaza sana!
Hivi kambarage angeweza kuwaruhusu mkewe na mtoto wake wote wawe WABUNGE Kweli?
NakaziaMuacheni mzee kikwete apumzike aenjoy Maisha yake ya uzeeni.
Na nguvu aliyonayo angeamua mfe njaa angeweza. Mitanzania hulka yetu ni chili, wivu na majungu ukiongezea uchawi. Kikwete ana kifua anasingiziwa mengi Sana.
Muacheni apumzike
Kikwete ni rais mstaafu, hana jeshi wala hamiliki kikundi cha kigaidi. Kwann analalamikiwa kuhusu mwenendo wa uongozi wa nchi? Lawama anazopewa Kikwete anastahili ama ni chuki binafsi toka kwa wabaya wake?
Rais aliyeko madarakani analazimika kufuata maagizo ama ushauri wa Kikwete? Kama jibu ni HAPANA, kwann asilaumiwe anayepokea ushauri ama maagizo haramu toka kwa Kikwete?
Hizi lawama anazopewa Kikwete kila mahali, nje na ndani ya chama chake chanzo chake ni nini?
Na je, tuko tayari kuona Kikwete analibananga taifa kwa maslahi yake? Hadhibitiki mtu huyu?
Tusijekuwa tunachezeshwa ngoma tusiyoijua!!
Hivi ni kweli?ingekuwa kuburuzwa kimawazo ingekuwa afadhali kuliko kupigwa miti na JK!
Aliyeruhusu hili kufanyika ni Kikwete ama Samia?
Wawili hawa wana lao jambo na ndiyo chanzo cha tatizoJiwe alisema wastaafu waache kuwashwa washwa. Iweje huyu wa sasa anakubali kuburuzwa?