Lawama dhidi ya Kikwete ni halisi ama tunacheza ngoma tusiyoijua?

Kuelewa tu bila kueleeshwa ni ngumu. Mstaafu kajikalia zake nyumbani, hafla na mikutano anayohudhuria ni kwa mwaliko maalumu. Iweje awe shubiri?
soma ujumbe vizuri hyo mialiko anayopewa wewe unafurahia? unadhani na wengine wanafurahia?kinyume chake ni shubiri kwani inakuwa na ujumbe...kama hujaelewa..sio lazima.
 
Ni kweli, KIKWETE hawezi kukwepa lawama Kwa haya yanayoendelea Kwa sababu yeye ndiyo kama baba mlezi kwenye nyumba ambayo baba amefariki Kwa ajali na mama Hana uwezo wa kuongoza familia lakini kuishia kumlaumu tu JK haitosaidia kitu ikiwa huyu mama ataachwa kuendelea kuongoza familia kama vile kuku aliyekatwa kichwa.
 
Unamtetea Kikwete baada ya kulipwa bei gani?
Nataka kupata maelezo ya kina, ni kwa namna gani Kikwete mstaafu anaweza kuwa anayumbisha nchi kwa namna inayozungumzwa.

Isije kuwa ni janja ya wahuni kutaka Samia asibebe msalaba wa kushindwa kuongoza nchi badala yake atwishwe Kikwete.
 
Jiwe alisema wastaafu waache kuwashwa washwa. Iweje huyu wa sasa anakubali kuburuzwa?
Jakaya mrisho kikwete ndiye raisi pekee toka ccm ambaye ni zao la ccm. Alitoka chini kabisa ya chama na kukwea ngazi zote hadi kuwa raisi. Huyu anakijua chama chake haswa. Lakini ndiyo kwanza anashauri taratibu zikiukwe. Inashangaza sana!
Hivi kambarage angeweza kuwaruhusu mkewe na mtoto wake wote wawe WABUNGE Kweli?
 
Huyo utasubiri Sana atakugongea 100 years believe me kwasababu ana kifua anajua kuhundle maneno na chuki za watu.
 
Muacheni mzee kikwete apumzike aenjoy Maisha yake ya uzeeni.

Na nguvu aliyonayo angeamua mfe njaa angeweza. Mitanzania hulka yetu ni chiki, wivu na majungu ukiongezea uchawi. Kikwete ana kifua anasingiziwa mengi Sana.

Muacheni apumzike
 
Muacheni mzee kikwete apumzike aenjoy Maisha yake ya uzeeni.

Na nguvu aliyonayo angeamua mfe njaa angeweza. Mitanzania hulka yetu ni chili, wivu na majungu ukiongezea uchawi. Kikwete ana kifua anasingiziwa mengi Sana.

Muacheni apumzike
Nakazia
 


Kuna mambo unayotakiwa kuyafahamu:

1. Uhusiano binafsi wa hawa wawili.

2. Huyu ndiye alimpa huyo umakamu kama hisani ya mahusiano yao binafsi.

3. Aliyepewa anajua kuwa alipewa hiyo nafasi siyo kwa merit. Hivyo ni lazima amnyenyekee aliyempa.

4. Aliyempa hiyo nafasi anajitahidi kuwa overal incharge akijua kuwa mtu wake akiboronga, lazima lawama zitakuja kwake kwa sababu ni yeye ndiye alimweka hapo alipo.
 
JK hana noma na mtu labda noma uje nayo wewe
 
aliekwambia Samia halaumiwi ni nani? Kati ya Samia na Kikwete nani amekuwa akitukanwa kila sehemu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…