Lawama dhidi ya Kikwete ni halisi ama tunacheza ngoma tusiyoijua?

na kwa kumalizia tu, JK ndio king maker na always king marker anakuwa na nguvu kuliko King mwenywe.
 
Hao ni team Lowassa na waliobaki humu ni wafata mkumbo tu
 
Kama ni kweli vilio vya watanzania vyote hivi sababu ni JK !!!?? Siku zake za kuishi zitakuwa chache maana wengi wanaumizwa kwa ushauri wake mbaya,
Hii serikali ya Samia inachukiwa sana huku mitaani
 
Kama ni kweli vilio vya watanzania vyote hivi sababu ni JK !!!?? Siku zake za kuishi zitakuwa chache maana wengi wanaumizwa kwa ushauri wake mbaya,
Hii serikali ya Samia inachukiwa sana huku mitaani
Nani kasema subiria uone
 
Bi Mashavu hana weledi na ufahamu intelligence ya siasa za Tanganyika hivyo anongozwa na masalia ya mtandao ukiongozwa na Mu-Iran swahiba yake Msoga Mzoga.
 
Yanini kujitesa nafasi wakati hatuishi milele yaani uumizwe roho na mtu ambaye unajua kbs Miaka 10 mbele huenda asiwepo.. chilling Tu kula maisha na ufurahie wewe na familia before hujarud kwa muumba kujibu mashataka
Ni kweli lakini kumbuka ni Mtu ambaye ushauri au maamuzi yake yanaweza kulicost Taifa tena kwa vizazi kadhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…