NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Hata mgeni akija kwako ni lazima umuelekeze sheria zako, huwezi kumlaumu akifanya kitu alichoomba akifanye na ukamruhusu.
Rais wetu ni muislamu kwake hajui vitu vingi vya wakatoliki, achilia mbali hata ukristo kwa ujumla.
Tuelewane jamani, Rais kaenda Kanisani kakalia kiti chake Kwa sababu ya ruhusa ya viongozi wa kanisa la wakatoliki, bila viongozi kuruhusu angelazimima kukalia benchi! Wasimamizi wa kanisa la wakatoliki ndio wameruhusu huu utaratibu hivyo tusimlaumu raisi kama wahusika waliridhia,
Ni suala la dini kuwa na msimamo wa kufata sheria zake, Mfano kuna dini ni lazima uvue viatu hata uwe Rais lasivyo hutoruhusiwa kuingia lakini huku kwa wakatoliki sheria zinaweza kulegezwa kidogo kulingana na cheo ama umaarufu, hata Diamond na Zuchu waliwahi kupewa ruhusa kurekodi video ndani ya kanisa katoliki, (msikitini wasingeruhusiwa na hata makanisa mengine ni ngumu ila kwa kanisa la wakatoliki walikubaliwa )