Lawd hamercy!! This can’t be!!

Lawd hamercy!! This can’t be!!

Daily News wameomba radhi.

F4DA94DD-B039-4520-89D7-43FA6E8D065D.jpeg
 
Sekta ya habari ilikuwa inaenda vizuri sana kabla ya kupelekwa ICU katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.Manguli wa habari walipigwa pini wakabaki makanjanja. Haya ni sehemu ya matokeo yake.
 
Mungu anawaumbua, kuna uchafu mwingi wamempangia Mheshimiwa, lakini Mungu wetu mwenye nguvu atamwangusha yote. Nilifurahi alipokataa kupokea ripoti ya CAG & TAKUKURU mikononi
Sidhani lakini kama hili walikuwa na lengo baya dhidi ya Rais.

Ninachodhani ni ilikuwa uzembe wao tu.

Na pengine labda uwezo wao mdogo wa kufanya kazi.
 
People are mourning and at the same time Congratulating the two Heads of state.

It was quiet better to Congratulate the dead than mourning the present.
 
Habari za leo . Kuna tangazo lililokosewa linazunguka kwenye mitandao. Kimsingi Gazeti la Daily News ndo wamekosea na siyo STAMICO. Sisi tuliwatumia tangazo sahihi👆. Tumeshawaandikia na wamekiri na kesho wataomba radhi kwenye Public. Tunaomba mtusaidie kutoa ufafanuzi huo kwenye magroup yenu.
AJSANTENI.
 
Hayo unayoona hapo mkuu, ndiyo yaliyomo serikalini.

Tumefikia hatua mbaya sana katika kutokuwa makini na kila kitu tunachofanya.

Huu ni ugonjwa unaohitaji tiba kali, usidhani ni bahati mbaya.

Kila kitu tunakifanya shagalabagala tu, bila taratibu mahususi.

Sasa niambie,Tangazo kama hilo kabla ya kuchapishwa, limepitia katika mikono mingapi, na yote haikuweza kuona kosa la kipuuzi kama hilo!

Haya, kumbe tangazo lenyewe limekosewa kwenye taasisi inayotakiwa kujua maana ya uhakiki ni nini!

Hawa watu wanakwenda shule kusomea hayo hayo!
 
Hilo gazeti halina wahariri?!

Anyway naona hapo chini kwa maandishi ya mkono ni gazeti lao wenyewe.
 
Back
Top Bottom