imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
LordLawhd ni nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LordLawhd ni nini
Aibu ya mwakaIs this really real or my mind is playing tricks on me?
Everyone involved in this phuckery got to go.
View attachment 1738009
Ubabaishaji kila sehemu.Nchi imejaa wababaishaji
Wangeandika kwa Kiswahili tu.Aibu ya mwaka
Mungu anawaumbua, kuna uchafu mwingi wamempangia Mheshimiwa, lakini Mungu wetu mwenye nguvu atamwangusha yote. Nilifurahi alipokataa kupokea ripoti ya CAG & TAKUKURU mikononiWangeandika kwa Kiswahili tu.
Kazi ya Doto Biteko hiyoView attachment 1738012
Katika bango lao kwenye gazeti STAMICO wameandika wanasikitika juu ya kifo cha Mh. Rais.
Nani anaitumia hii taasisi katika kuleta mtafaruku kiasi hiki
Sidhani lakini kama hili walikuwa na lengo baya dhidi ya Rais.Mungu anawaumbua, kuna uchafu mwingi wamempangia Mheshimiwa, lakini Mungu wetu mwenye nguvu atamwangusha yote. Nilifurahi alipokataa kupokea ripoti ya CAG & TAKUKURU mikononi
Sio photoshop hii?View attachment 1738012
Katika bango lao kwenye gazeti STAMICO wameandika wanasikitika juu ya kifo cha Mh. Rais.
Nani anaitumia hii taasisi katika kuleta mtafaruku kiasi hiki
Mkalimani hajasikia vizuri!View attachment 1738012
Katika bango lao kwenye gazeti STAMICO wameandika wanasikitika juu ya kifo cha Mh. Rais.
Nani anaitumia hii taasisi katika kuleta mtafaruku kiasi hiki