Lawlence Mulindwa ili timu yako ifanye vizuri kimataifa sajili washambuliaji wanakuangusha sana

Lawlence Mulindwa ili timu yako ifanye vizuri kimataifa sajili washambuliaji wanakuangusha sana

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Sishangai kabisa vipers kucheza mechi 4 bila kufunga goli lolote kwakweli ni shida kubwa sana liko kwenye eneo la mwisho la vipers, kuanzia beki, na viungo wako vizuri sana lakini ushambuliaji ni majanga, Mechi ya leo ilikuwa ni mechi ya vipers kutoka na point kwa namna walivyocheza.

Simba walibaki kushikilia mioyo na kuomba mpira umalizike, Walikuwa ata mate awamezi wakijua muda wowote goli linarudi lakini ubovu wa vipers kwenye eneo la mwisho limewaangusha pakubwa, Hii michuano ni mikubwa ukiwa kwenye ligi yako unaweza usione tatizo lakini kwenye hii michuano unatakiwa kuimarisha kila eneo.

Na simba wajiangalie sana kwa hii perfomance yao inatia mashaka makubwa, nafasi walizopata hawa vipers kama ni timu nyingine makini ni vilio tu vitaanza kusikika, Ngoja tusubili mechi ya fainali na Horoya kwa maana angalau tutaona mechi nzuri kwakuwa horoya sio butu kama vipers wakipata nafasi wanaitendea haki ipasavyo, narudia tena simba jiangalieni!
 
Kaka Malafyale.

Ubahili wa Mwamedi Ndio chanzo Cha yote haya.

Simba Ina wachezaji WATANO TU.
Inonga, Chama, Saido, Manula, kapombe na shabalala .

SIMBA INA WACHEZAJI MIZIGO WENGI MNO.
Kanute, Banda, Ottara, Okwa, Onyango Umri, Sawadogo, Baleke.

Imagine una kiungo MZAMIRU na kanute.
Yanga Ina kiungo
BANGALA NA AUCHO.

MO ANAIHUJUMU SANA SIMBA.
KOCHA ASIGUSWE KABISA
 
Back
Top Bottom