Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahaha kitu kizito, hicho miezi 6 ni mingiKitu kikali cha Mrusi ni hicho cha Polonium Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha kitu kizito, hicho miezi 6 ni mingiKitu kikali cha Mrusi ni hicho cha Polonium Mkuu.
Bibi kumbe nawewe uliangalia pilau la Equatorial Guinea 🤣Inna limLlahi wa inna Ilayhi rajiun.
Kafanana sana na yule jamaa, tofauti ni rangi zao tu, yule mweupe, huyu mweusi.
Hizo ni sifa za mchawi, au shetani?Alijifanya mjuaji kumbe hamjui vizuri Mwamba JPM a.k.a Mzilankende...akapita na miguu yote miwili...
Heshimuni Mamlaka otherwise mtaumia...
Mwamba wa Bombay aliwekewa pale tu alipoteuliwa hapo alipokuwa na Watu walimuwahi kabla hajawa na Siku 14 Ofisini.Hahahaha kitu kizito, hicho miezi 6 ni mingi
Ndiyo maana sipendi mamlaka, bora kuendelea kuwa mfanya biashara jamani. Bora angebaki na firm yake ya consultancy
Dah😂 kwahio kabla hajaketi kwenye kiti cha enzi tayari compound ilishapenya kwenye body to bodyMwamba wa Bombay aliwekewa pale tu alipoteuliwa hapo alipokuwa na Watu walimuwahi kabla hajawa na Siku 14 Ofisini.
Zamani sana Mkuu na kwakuwa Jamaa alikuwa mpenda Sambusa na Vitumbua kama Mimi hivyo hivyo vimetumika kumkutanisha mapema na Udongo.Dah😂 kwahio kabla hajaketi kwenye kiti cha enzi tayari compound ilishapenya kwenye body to body
Wakinga wanakufa sana kwa UKIMWI. Wanaondoka mwaka hadi miaka 2 au 3 kutafuta hela halafu wakirudi wanawasambazia UKIMWI wake zao. Familia nyingi Makete zinalelewa na nyanya (grandparents) zaoNi vizuri kuwa fit kama "wakinga" 😁😁😁
Hakika mpenda vitumbua na sambusa afanya jambo la kuiangamiza nafsi yake😀 nimeamini.Zamani sana Mkuu na kwakuwa Jamaa alikuwa mpenda Sambusa na Vitumbua kama Mimi hivyo hivyo vimetumika kumkutanisha mapema na Udongo.
Aisee mbona mimi mzima japo ni dry chama ila sina uhakika kama nimefikia 400Nakubaliana na wewe yule Baltazary siyo mzima na ndiyo maana alikuwa anafanya kwa makusudi kupita na mademu kibao tena wa watu wa karibu kuwasambazia grid,maana alikuwa anapita kisiwa dry chama.
Alikuwa jizi,tu, wala simungunyi maneno,huyu na mkapa, ndio waliuza NBC benk kwa bei ya kutupa, Maghu alimtumbua alipokuwa hazina,kizimkazi, akamrudisha,View attachment 3147717
Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango amefariki Dunia leo Novemba 9, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India.
Rais Samia Suluhu Hassan ameandika katika Mitandao yake ya Kijamii kuhusu Kifo cha Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango,
View attachment 3147755
"Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kilichotokea leo tarehe 09 Novemba, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India.
Ninatoa pole kwa familia, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji) Mheshimiwa Prof. Kitila Alexander Mkumbo, watumishi wa Tume ya Mipango, ndugu jamaa na marafiki kufuatia msiba huu.
Bw. Mafuru atakumbukwa kwa utumishi wake uliotukuka, bidii na ubunifu alipotumikia nafasi mbalimbali ndani ya Serikali.
Mwenyezi Mungu aijalie familia yake subra na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu na ailaze roho yake mahali pema."
Wasifu wa Mafuru
Lawrence Mafuru ni mtaalamu mashuhuri wa masuala ya fedha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 20 katika benki, uwekezaji, na sera za serikali. Ni Certified Chartered Banker kutoka Taasisi ya Wataalamu wa Benki ya London na pia ni Certified Financial Markets Dealer aliyeidhinishwa na ACI Financial Markets.
Alianza safari yake mwaka 1998 katika Benki ya Standard Chartered, akijikita katika Ufadhili wa Biashara za Kimataifa. Kwa kipindi cha zaidi ya miongo miwili iliyofuata, alishika nyadhifa mbalimbali za uongozi katika sekta ya fedha nchini Tanzania, ikiwemo kuwa Mkuu wa Hazina katika Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, na Mwenyekiti wa Chama cha Mabenki Tanzania (TBA).
Uzoefu wake unaenda zaidi ya benki za biashara, kwani pia aliwahi kuhudumu kama Msajili wa Hazina katika Wizara ya Fedha. Kama mamlaka inayotambulika katika masuala ya benki na fedha, Bw.
Mafuru huombwa mara kwa mara kuwa mzungumzaji kwenye mijadala ya sekta hiyo. Ana shauku ya kutumia utaalamu wake ili kuleta manufaa kwa wateja na wadau wake.
Kabla ya nafasi yake ya sasa, Bw. Mafuru alichangia pakubwa katika kuunda sera za uchumi za Tanzania. Alihudumu katika Wizara ya Fedha kama Kamishna wa Idara ya Uchambuzi wa Sera na baadaye kama Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Sera za Usimamizi wa Uchumi.
Hadi kifo kinamkuta, Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru alikuwa akihudumu kama Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango.
Wakati wa kuuza nbc kama alikuwepo alikuwa teller,huyu katoka kipindi cha JKAlikuwa jizi,tu, wala simungunyi maneno,huyu na mkapa, ndio waliuza NBC benk kwa bei ya kutupa, Maghu alimtumbua alipokuwa hazina,kizimkazi, akamrudisha,
TZ is better off without him, he used is expertise to plunder and steal!
Duh!Unauliza Ajali za Barabarani Vigwaza?
Mbona mnaongea vitu nisivyovielewa? Fungukeni, sijuwi kuongea kwa codes. Mimi nimesema kafanana na yule jamaa. Sasa naona watu mnajaza mambo ya ajabu ajabu.Bibi kumbe nawewe uliangalia pilau la Equatorial Guinea 🤣
Kwanini ifikie hayo? Mimi nimesema "yule jamaa" tu.Jambo la kufurahisha ni kwamba:-
Kumbe hata ni shabiki wa bw. Baltasar Engonga.
Na ulitupiamo tumacho kuona na anavyo wasambazia moto wa upendo
YesAlikuwa MD
Tuambie jamaa gani?Mbona mnaongea vitu nisivyovielewa? Fungukeni, sijuwi kuongea kwa codes. Mimi nimesema kafanana na yule jamaa. Sasa naona watu mnajza mambo ya ajabu ajabu.
Juzi juzi tulikuwa naye kwenye mkutano anafanya presentation na alikuwa fiti kabisa. Dah, haya maisha.Hahahaha kitu kizito, hicho miezi 6 ni mingi