Ndio wewe? Kizuka?Muulize mkewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio wewe? Kizuka?Muulize mkewe
then why wonder when it arrives?Death is the only thing that is Certain
Kifo gani? UnawahishwaWa private hawafi?
Simo katika asilimia za kufa Kaka ,nakataaMaisha mafupi; Asilimia 95 kama sio 100 tuliomo humu, miaka 50 ijayo tutakuwa tumefutika, tuishi tukijua hilo.
Kwamba ukiandika kiswahili Allah hataelewa wala kusikia?Inalilah wainailah rajiun
Hii ikiandikwa Kiswahili Allah hataelewa ama kusikia maombi yako? Ama kiswahili kinampiga chenga Allah?Inna limLlahi wa inna Ilayhi rajiun.
Kafanana sana na yule jamaa, tofauti ni rangi zao tu, yule mweupe, huyu mweusi.
Mjinga sana weweInna limLlahi wa inna Ilayhi rajiun.
Kafanana sana na yule jamaa, tofauti ni rangi zao tu, yule mweupe, huyu mweusi.
Ephraim na na Lawrence ni NDUGU wa damu kabisa hao wajitaInna limLlahi wa inna Ilayhi rajiun.
Kafanana sana na yule jamaa, tofauti ni rangi zao tu, yule mweupe, huyu mweusi.
Kwani wewe ni faiza?Kwani!!?
Mimi mbona sikuangalia hizo video za huyo jamaa ila picha zake si zilitumwa humu!?
Kuzaliwa, shule havisemwiCv mbona haijakamilika?
Heeee classmate tena?R.i.P Classmate...😥
Shikamoo Mkuu, ulisemaga watu wakasema dishi lako limeyumba. Kumbe upo sahii. Kwa hiyo unasema,kuelekea 2025 rip zitakuwa nyingi mno?GENTAMYCINE niliposema mapema tu mwaka huu kuwa kuanzia mwishoni mwa mwaka huu 2024 na hadi July hadi September mwakani kutatokea Vifo vya Kushtukiza kwa Wakubwa sikueleweka na nikaonekana Zamwa / Chizi sasa taratibu nitaanza Kueleweka na huenda hata Kujengewe Sanamu langu.
Huyu ndiyo alikuwa anaenda kuwa Waziri Mkuu ajaye 2025 ambapo Mama yenu angemteua nafasi ya Ubunge ila Mchezo ule ule wa Deo Filikunjombe ambaye nae Hayati alipanga kumteua Waziri Mkuu wake 2015 umechezwa ila tofauti tu ni kwamba Deo ni kwa kutumia Chopper Mchezo wa Korea Kaskazini na huyu wa Leo ni kwa Mchezo wa Urusi ambao huwa hauna Masihara kama Maadui wakikutafuta nao.
Najua kama kuna Msiba ambao utamuumiza Mama yenu ni huu wa huyu, ila msaidieni Mama yenu kwa kumwambia ajitahidi sana awe Msiri kwa Mambo yake kwani ana Maadui ndani yake halafu kuna Vita Kubwa sana ya Makundi ndani ya CCM hasa kuelekea 2025 na kama kuna Nafasi inayotamaniwa na itaondoka na Wengi ni ya Waziri Mkuu.
Mko huru kuendelea Kunidharau kwani Nabii hajawahi Kukubila Kwao lakini sijawahi kusema Jambo lisije Kutimia mbeleni. Na ninachojua ni kwamba bado wapo Watu kama Watatu au Wanne hivi wapo katika Vita Kubwa sana na Wawili wako Nje (bench) ila ni Mafia hakuna Mfano na Mfalme wao hivyo tutarajie Misiba mingi kuanzia hiyo 2025.
Imeisha hiyo.........!!!!!!!
Nani Kasema kawahishwaKifo gani? Unawahishwa
Mie AngelKwani wewe ni faiza?
Mimi niko fit sina maradhi haya lakini ninaongea kwa sababu nilikuwa mtumishi wa Wizara ya Afya. Nimesoma ripoti za tafiti mbalimbaliMkuu si useme tu na wewe ni mmoja wao
Alikuwa sawa huyu alitokea bank tena alikuwa CEO wa NBC