TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

Kwasasa Nchi iko hoi hata Miradi ni kusua sua hawa watu mnaosema wamesoma wanasaidiaje??? Watanzania ni mabingwa kwa maneno ila njoo kwenye kazi ni zero...Huyu jamaa alikua NBC ikafa jumla leo iko chali..Lakin amekufa mnamwaga misifaa ooh mmoja wa wachumi ooh bla bla...Magufuli alikua anafanya kazi zinaonekana hadharani mnaona kabisa mambo yanaenda ila sasa kila kitu hoi..
Hawa jamaa wote walioshika nafasi nyeti Magufuli aliwatoa..sina ubaya na Marehemu ila tunaongelea uhalisia na sifa mnazotoa..Ikiwa Bank ya NBC ilikufa akiwa yeye ndio Boss mnasemaje anajua kazi??
 
Back
Top Bottom