Lawrence Mafuru aliewahi kuwa MD wa NBC Bank na Msajili wa Hazina ateuliwa kuwa Kamishina wa Sera Wizara ya Fedha

Hili la kujiajili na mazingira magumu ya kufanya Biashara Tanzania....umesema kweli tupu.
 
Ukiona mtu anafanya biashara zake binafasi amesimama na amefanikiwa katika nchi hii muheshimu sana, sio jambo jepesi.
 

Mkuu mimi sishangai huyu....Nashangaa sanaaa tena Mnooo kwa wazili wa Nje Yule Mama Eti Uzoefu...Hivi Uzoefu anao peke yake?? Kwani alikuwa anafanya kazi peke yake???? Halafu Umri umeenda...yaani Basi tuu.
Ok nimeelewa....Nimekumbuka...Ni Kukumbukana tuuu...[emoji3516][emoji12][emoji12][emoji2957][emoji2]
 
Mbona hukusema nchi ilivyokuwa chini ya Sabaya!!!? Acha wale tu,ccm si mlishaigeuza hii nchi ni mali yenu,,,Unatuletea habari za Jakaya alikula nchi!!! Ni lini ccm mmeacha kuiba mali za nchi ??? Magufuli alificha Trilion 1.5 hukusema chochote ila saivi unaropoka kwa sababu zamu yako ya kula imepita?? Mpumbavu kabisa wewe,Ipo siku wananchi watajipigania dhidi ya lichama ambalo ukivaa sare yake kama mfanyabiashara unapata excemption ya kodi!!! Subiri siku zaja nakuhakikishia utashuhudia mhuni mmoja wewe,,, Nyinyi mlikula ila akila January inakuwa nongwa!!! Kwanza hawajui tu wangekomba hazina yote iishe ili wananchi waelewe kwamba ccm haijawahi kuwa na nia njema dhidi yao zaidi ni lichama lilichukua mikoba ya mkoloni ,,,Ni shida gani mtz hajaionja chini ya ccm ??? Hawamu ya tano ndo kabisa mpaka mtumishi wa Umma angeshona kiraka kwenye suruali,,Ile hawamu ilikuwa na rais wa ajabu eti anashangaa matatizo ya wtz utadhani ametokea marekani ,,,Anasahau amekuwa ndani ya baraza la mawaziri for 20 yrs ,,hatujawahi kumsikia akijiuzulu kupinga udhalimu wowote ule,,ni miongoni mwa genge lililokuwa bungeni kuhakikisha katiba ya wananchi haifanikiwi ili kulinda maslahi ya ccm ,,,We jamaa ulaaniwe kwa mtazamo wako,mnafiki mkubwa eti leo unachukia akina makamba kula kama hujui hii nchi tushawasusia kila mtu anapambana kivyake kwhyo hatuna xhida na mali za nchi hii chini ya ccm maana mshazigeuza mali za familia zenu

Ebu ona
Bulembo mbunge- mwanae mbunge
Salima kikwete mb- Liz1 mbunge na wengine wote hawa aliwateua magufuli utadhani hajui utajiri walionao ,,,,,Tushachoka tutajipigania we pigania tumbo lako achana na Wananchi(machoko)Mungu atawaletea mkombozi,,,ccm mna nini cha kujivuna nchi hii!?
 
CM 1774858 hongera sana, Mama anaupiga mwingi sana!
 
Ukiona mtu anafanya biashara zake binafasi amesimama na amefanikiwa katika nchi hii muheshimu sana, sio jambo jepesi.
Ukweli mtupu.....I wish hawa maafisa toka Taasisi za Serikali km TRA, NSSF, WCF nk wangejua wanayopitia watu wenye Makapuni yao....wangewaheshimu sana na si kuwatajia kila siku vifungu vya sheria..kwa vile wao wapo ktk Payroll za mwezi. Biashara TZ kwa kweli mazingira bado.
 
😀 Wapo wapo radhi kumwimbia, na kumsifu hangaya sifa fake ili wapate mikate.
 
Mkuu The Underboss , naielewa concern yako, lakini ukweli ni kuwa japo tuna Watanzania wengi wenye sifa na vigezo vya kwenye macheti tuu, lakini the people who can delivery ni wachache, ukiwabaini huwezi kuzuia recycling them, huyu ni one of them, he is good na hapo ni just a stepping stone kwenye bouncing back nafasi yake halisi bado.

Mafuru ni Mmoja wa Mashujaa wa Taifa Hili, Kwa Kuwa Mkweli Daima, Jee Kupangiwa Kazi Muhimu Zaidi?.
P
 
Mwanzo nilikuwa na mawazo kama yako ila Mafuru hamna kitu rafiki....ukijua uhalisia utabaki kinywa wazi....
Hata hiyo elimu yake utashangaa...ila kwa nchi kama Tanzania wala haishangazi....
Wewe si investigative journalist sasa find out kwa nini aliondoka NBC....na yeye anajua
 
Pambaneni kutengeneza CV na kujenga misingi bora kwa watoto na wajukuu pamoja na kutengeneza connections..

Kuna Cv's na watu huwezi kuwaepuka mahala fulani fulani kulingana na uwezo wao kichwani + exposure waliyonayo..
Kuna nafasi sio za kujaribu watu bali zinahitaji waliotayari kuleta matokeo sasa..

"There is the time to learn and time to earn" Muda wakujifunza jifunze kweli ili muda wa kuingiza hela na kuzitumia ukifika uzitumie kweli na kuziingiza..
 
Si ile issue ya kupiga rangi jengo la HQ NBC kwa 800m?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…