Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Bahati + Connections
#Siempre JMT
#Siempre JMT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Msoga anasemaje!Sina tatizo na uteuzi wa Mafuru, najua ni mtaalam mbobezi, mjuzi, ana uzoefu maarifa makubwa lakini swali langu ni kwa nini watu ni wale wale.
Hili la kujiajili na mazingira magumu ya kufanya Biashara Tanzania....umesema kweli tupu.Uteuzi wake ulitangazwa, pia kwake ni demotion siyo promotion maana kutoka MD wa NBC hadi kaminishina ni demotion kubwa, kuhusu kujiajiri ni kazi ngumu sn tena sn watu wapo CCM ajili ya kutafuta fursa wao na familia zao sababu hawezi kusimama wao kama wao pia mazingira ya biashara ni magumu sn kodi kibao na michango pia usumbufu mkubwa.
Kwa Tz ni ngumu snHili la kujiajili na mazingira magumu ya kufanya Biashara Tanzania....umesema kweli tupu.
Bahati + Connections
#Siempre JMT
Sawa...Utabaki unaimba siempre tu
Ndugu Laurence Mafuru Ambae amewahi kua mkurugenzi Mkuu wa NBC Bank na Msajili wa Hazina ameteuliwa kua kamishna wa Sera wizara ya fedha.
Hakuna mahala uteuzi huo umetangazwa ila nimebahatika kuona tangazo kutoka kwenye taasisi yake ya Bankable Institute kwamba amejiuzuru majukumu ya mshirika mtendaji (managing partner) kutokana na kuteuliwa kua kamishna wa sera wizara ya fedha.
Sina tatizo na uteuzi wa Mafuru, najua ni mtaalam mbobezi, mjuzi, ana uzoefu maarifa makubwa lakini swali langu ni kwa nini watu ni wale wale.
Kwamba nchi hii mtandao ni ule ule ndio unatakiwa kula keki ama neema ya nchi hii, watu wale wale. Nilishangaa juzi Balozi Batrida anateuliwa katibu tawala wa mkoa baadae mkuu wa mkoa, unajiuliza mtu amekua hadi balozi bado hawezi kuishi bila kuajiriwa?
Mafuru ana taasisi yake ya Bankable Institute, ambayo bado kama atahitajika kusaidia taifa basi ni rahisi kumpata ama kupata ushauri wake kupitia hiyo taasisi na akaendelea kuneemeka na mema ya nchi hii.
Sijawahi kusikia mtu kutoka taasisi ama sekta binafsi amepewa nafasi serikali akaikataa, sijawahi kusikia, simaanishi hawapo ila sijawahi kusikia.
Hii inatupatia picha kwamba kujiajiri bado ni changamoto ndio maana watu watazuga wamejiajiri ila ikitokea ofa za serikali hawawezi kuzikataa, kwa maana kwamba maisha ya utumishi serikalini ni mazuri na matamu kuliko kujiajiri.
Hii nchi ina watu milioni 60, kwa nini kila siku ni wale wale tu, wanatoka hapa wanaenda pale, wanatoka huku wanaenda kule.
CCM wametemgeneza mfumo wa hovyo sana wa nchi hii.
View attachment 1996590
Mbona hukusema nchi ilivyokuwa chini ya Sabaya!!!? Acha wale tu,ccm si mlishaigeuza hii nchi ni mali yenu,,,Unatuletea habari za Jakaya alikula nchi!!! Ni lini ccm mmeacha kuiba mali za nchi ??? Magufuli alificha Trilion 1.5 hukusema chochote ila saivi unaropoka kwa sababu zamu yako ya kula imepita?? Mpumbavu kabisa wewe,Ipo siku wananchi watajipigania dhidi ya lichama ambalo ukivaa sare yake kama mfanyabiashara unapata excemption ya kodi!!! Subiri siku zaja nakuhakikishia utashuhudia mhuni mmoja wewe,,, Nyinyi mlikula ila akila January inakuwa nongwa!!! Kwanza hawajui tu wangekomba hazina yote iishe ili wananchi waelewe kwamba ccm haijawahi kuwa na nia njema dhidi yao zaidi ni lichama lilichukua mikoba ya mkoloni ,,,Ni shida gani mtz hajaionja chini ya ccm ??? Hawamu ya tano ndo kabisa mpaka mtumishi wa Umma angeshona kiraka kwenye suruali,,Ile hawamu ilikuwa na rais wa ajabu eti anashangaa matatizo ya wtz utadhani ametokea marekani ,,,Anasahau amekuwa ndani ya baraza la mawaziri for 20 yrs ,,hatujawahi kumsikia akijiuzulu kupinga udhalimu wowote ule,,ni miongoni mwa genge lililokuwa bungeni kuhakikisha katiba ya wananchi haifanikiwi ili kulinda maslahi ya ccm ,,,We jamaa ulaaniwe kwa mtazamo wako,mnafiki mkubwa eti leo unachukia akina makamba kula kama hujui hii nchi tushawasusia kila mtu anapambana kivyake kwhyo hatuna xhida na mali za nchi hii chini ya ccm maana mshazigeuza mali za familia zenuPolepole hakukosea. Huenda serikali ya nyuma ya pazia imerejesha madaraka baada ya magufuli kufa. Wanarudishwa kujipanga kutumikia ubeberu. Huyo mafuru kina batilda maharage majaa januari etc etc ni walewale wa awamu ya 4. Enzi hiyo nchi ilipigwa vilivyo na ubeberu wakisaidiwa na mawakala wao. Ndio sasa wanajipanga upya. Kwa kweli inakasirisha sana kuona watu utafikiri nchi hii ni mali yao binafsi.
CM 1774858 hongera sana, Mama anaupiga mwingi sana!Mafuru huyo huyo mwezi mmoja uliopita aliteuliwa na January Makamba kuwa mjumbe wa bodi ya Tanesco.
Kipindi cha Magufuli, huyu Mafuru alitimuliwa kutoka serikalini kwa kashfa za kifisadi, na sasa anarejeshewa vitu vyote vinono.
Tutaonana mengi sana chini ya CCM.
Ukweli mtupu.....I wish hawa maafisa toka Taasisi za Serikali km TRA, NSSF, WCF nk wangejua wanayopitia watu wenye Makapuni yao....wangewaheshimu sana na si kuwatajia kila siku vifungu vya sheria..kwa vile wao wapo ktk Payroll za mwezi. Biashara TZ kwa kweli mazingira bado.Ukiona mtu anafanya biashara zake binafasi amesimama na amefanikiwa katika nchi hii muheshimu sana, sio jambo jepesi.
😀 Wapo wapo radhi kumwimbia, na kumsifu hangaya sifa fake ili wapate mikate.Uteuzi wake ulitangazwa, pia kwake ni demotion siyo promotion maana kutoka MD wa NBC hadi kaminishina ni demotion kubwa, kuhusu kujiajiri ni kazi ngumu sn tena sn watu wapo CCM ajili ya kutafuta fursa wao na familia zao sababu hawezi kusimama wao kama wao pia mazingira ya biashara ni magumu sn kodi kibao na michango pia usumbufu mkubwa.
Mkuu The Underboss , naielewa concern yako, lakini ukweli ni kuwa japo tuna Watanzania wengi wenye sifa na vigezo vya kwenye macheti tuu, lakini the people who can delivery ni wachache, ukiwabaini huwezi kuzuia recycling them, huyu ni one of them, he is good na hapo ni just a stepping stone kwenye bouncing back nafasi yake halisi bado.Ndugu Laurence Mafuru Ambae amewahi kua mkurugenzi Mkuu wa NBC Bank na Msajili wa Hazina ameteuliwa kua kamishna wa Sera wizara ya fedha.
Sina tatizo na uteuzi wa Mafuru, najua ni mtaalam mbobezi, mjuzi, ana uzoefu maarifa makubwa lakini swali langu ni kwa nini watu ni wale wale.
Hii nchi ina watu milioni 60, kwa nini kila siku ni wale wale tu, wanatoka hapa wanaenda pale, wanatoka huku wanaenda kule.
Mwanzo nilikuwa na mawazo kama yako ila Mafuru hamna kitu rafiki....ukijua uhalisia utabaki kinywa wazi....Mkuu The Underboss , naielewa concern yako, lakini ukweli ni kuwa japo tuna Watanzania wengi wenye sifa na vigezo vya kwenye macheti tuu, lakini the people who can delivery ni wachache, ukiwabaini huwezi kuzuia recycling them, huyu ni one of them, he is good na hapo ni just a stepping stone kwenye bouncing back nafasi yake halisi bado.
Mafuru ni Mmoja wa Mashujaa wa Taifa Hili, Kwa Kuwa Mkweli Daima, Jee Kupangiwa Kazi Muhimu Zaidi?.
P
Na hakuna mtu kama huyo nchiniUkiona mtu anafanya biashara zake binafasi amesimama na amefanikiwa katika nchi hii muheshimu sana, sio jambo jepesi.
Yeye anaswampa tu Ulaya😀 Wapo wapo radhi kumwimbia, na kumsifu hangaya sifa fake ili wapate mikate.
Si ile issue ya kupiga rangi jengo la HQ NBC kwa 800m?Mwanzo nilikuwa na mawazo kama yako ila Mafuru hamna kitu rafiki....ukijua uhalisia utabaki kinywa wazi....
Hata hiyo elimu yake utashangaa...ila kwa nchi kama Tanzania wala haishangazi....
Wewe si investigative journalist sasa find out kwa nini aliondoka NBC....na yeye anajua