Lawrence Masha mmiliki wa ECO PROTECTION TANZANIA LTD

Lawrence Masha mmiliki wa ECO PROTECTION TANZANIA LTD

Arusha kuna kuna jamaa alisha leta ya kwakwe ila ni kama mwili tu,hayatoshelelezi yanapiga katikati ya mji,
 
umeona babu wabongo tuna majelous ya kishamba kweli yaani,mtu hata kadustbin ka kukusanyia uchafu home kwake tu hana ila analalamika hapa

Kaka acha tu afu analalamikia kwenye mitandao,nenda omba tenda kama na umenyimwa coz of fulani ndo ulalamike,sa una lalamika anauwezo wa kufanya hy kazi.
 
Tunge apply vipi, kwani tenda ilitangazwa?

Hizo tenda zipo miaka yote,ni we ndo huna interest na biashara,we kabila gani man,nnunu basi hata la kunyonya kinyesi ambalo halisaubiri kutangaziwa tenda unakaaa kijiweni tu.
 
Sio mbaya.......yeye kama mtanzania alkua na haki ya kuomba tenda na kama alishinda vigezo ni haki yake apewe.

kikubwa kazi iwe nzuri na kwa gharama anayoweza kumudu mtanzania wa kawaida........

Gharama ikiwa ya kifisadi basi walala hoi hawataacha kuzitupa barabarani usiku kwa kushindwa kulipia

NB-NGALIZO!!!!!; AKIFANYA KAZI VIBAYA AKANYANG'ANYWA TENDA NA ASIJE AKARUDISHA TAKA ZOTE ALIZOWAHI KUKUSANYA MAJUMBANI MWETU KAMA ALIVYOWEZA KUNYANG'ANYA THAMANI ZILIZOKUA OFISI ZA UBUNGE KULEEEEEEEE ALIKOFULIA!
 
Nasikia ni ya kisasa mno.......yakishazoa taka yanapiga na pafyumu

Dahhhh, umenikumbusha kisa cha Marehem Mzee Yusufu (wakaaji wa Kariakoo, Bagamoyo, Kaole wanamjuwa sana huyu mzee). Alikuwa ni mtu mzima lakini mtu wa soga sana, kuna siku akapanda gari ya Rostam Aziz, kisa alichokileta baada ya hapo:

"Gari ya Rostam ukikaa juu ya kiti hata ukijamba ushuzi hautoki nje unavutwa hapo hapo juu ya kiti unatupwa nje na eya kandishen yake, halafu kina toka kipafyuum kizuri, raha mtindo mmoja, unataka ujambe tuu mpaka unakofika. Halafu nyie mnajidai mna magari? kapandeni ya Rostam muone gari".
 
Cha muhm atoe huduma ya kuridhisha...nimependa kapewa tenda mtanzania co mchina!tusibeze kila kitu we are great thinkers!
 
Hivi JIJI walishindwa nini kununua magari kama haya kuzoa taka? Hizi hela za mabango wanapeleka wapi?

Hongera Masha kwa kuona GAP kwenye hawa viongozi uchwara.
 
Hivi JIJI walishindwa nini kununua magari kama haya kuzoa taka? Hizi hela za mabango wanapeleka wapi?

Hongera Masha kwa kuona GAP kwenye hawa viongozi uchwara.

Mjini unaishi kwa timing,unasoma ramani,
 
"Gari ya Rostam ukikaa juu ya kiti hata ukijamba ushuzi hautoki nje unavutwa hapo hapo juu ya kiti unatupwa nje na eya kandishen yake, halafu kina toka kipafyuum kizuri, raha mtindo mmoja, unataka ujambe tuu mpaka unakofika. Halafu nyie mnajidai mna magari? kapandeni ya Rostam muone gari".
[/QUOTE]
 
Hizo tenda zipo miaka yote...
Ipo miaka yote wapi? Imetangazwa lini? Wapi?Achana na kabila langu na mambo ya kijiweni kwangu. That's besides the relevant issues. Tendering process ilianza lini?
 
Ipo miaka yote wapi? Imetangazwa lini? Na chombo gani? Wapi?Achana na kabila langu na mambo ya kijiweni kwangu. That's besides the relevant issues.

Tendering process ilianza lini?
kwa iyo wewe tender zote za nchi hii unazijua? na hii alopata masha tu ndo hukuiona?
 
Muhimu ni ubora wa huduma,bila kujali nani mnmiliki wa hii kampuni haya ndio magari ya takataka tunayotaka kuyaona kote Tanzania. Tunapambana na mfumo unaodidimiza maendeleo na sio mtu!Kwangu mtu akija na magari kama haya wala haitaji kushindanishwa ni kumpa maeneo na kusimamia kazi inafanyika!

magari yake yana ubora wa hali ya juu sana. pesa aliyopata kwenye uwaziri ameitumia vizuri kwa kuongeza wigo wa ajira ukilinganisha na wakati anahonga hapa Mwanza kuretai ubunge wake. hela hiyo angeitumia kuwekeza zaidi, ingesaidia wengi japo wakapata mlo wa siku moja wakati vuguvugu la kudai maslahi kupitia CDM likiendelea.
 
kwa iyo wewe tender zote za nchi hii unazijua? na hii alopata masha tu ndo hukuiona?
Wewe umenijibu kwamba ametoa msaada. Umerudi tena kwenye tenda? I can't follow your drift here, which is it?
 
Wewe umenijibu kwamba ametoa msaada. Umerudi tena kwenye tenda? I can't follow your drift here, which is it?
kwasababu hutaki kuamini aliqualify kutoa iyo service
 
ya kuzoa uchafu jijini? Au ni wivu tu? Huna gari huna kampuni huna zana yeyote mwenye uwezo kapewa kazi wewe unabwabwaja tu watz bana
wewe mtoto unafujo sana wewe!
 
Huku kwetu Tandale mbona hayaji?
Au yanazoea tu taka za Oyster bay na Masaki? au na Posta huko?
 
Ipo miaka yote wapi? Imetangazwa lini? Wapi?Achana na kabila langu na mambo ya kijiweni kwangu. That's besides the relevant issues. Tendering process ilianza lini?

ukitembelea kwenye halimashauri za wilaya, hata wizarani, utagundua ubaya wa tendering. hebu fikiria ni mara ngapi tenda zimetangazwa lakini anashinda mtu ambaye hana vigezo? kwa nini kila siku tunalalama kwenye sekta ya barabara?

kama Masha hajafuta sheria, ni mbaya kiasi lakini nampongeza kwa kuja na magari bora kabisa kama hayo. kama angetumia kujulikana kwake kwa kuchukua tenda ya namna hiyo wakati ana magari hayo ambayo nayo ni taka, tungemsema sana, na tungeingia barabarani kumpinga kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom