Lawrence Masha mmiliki wa ECO PROTECTION TANZANIA LTD

Lawrence Masha mmiliki wa ECO PROTECTION TANZANIA LTD

Uwe unatembelea kwenye ubao wa manispaa utajua.
"Ubao wa manispaa" my foot!

Section 61, sub-section 2, Public Procurement Act of 2004 as amended and promulgated regulations zinakataza matangazo ya vificho ficho kama ya "ubao wa Manispaa."

Mianya ya procurement corruption inaanzia kwenye uwazi wa tenda. Wangapi wanapita manispaa kila siku kupitia ubao? "Constructive notice" inatakiwa iende far and beyond ubao wa ndani kuwafikia watu wengi iwezekanavyo, per law and regulations.
 
"Ubao wa manispaa" my foot!

Section 61, sub-section 2, Public Procurement Act of 2004 as amended and promulgated regulations zinakataza matangazo ya vificho ficho kama ya "ubao wa Manispaa."

Mianya ya procurement corruption inaanzia kwenye uwazi wa tenda. Wangapi wanapita manispaa kila siku kupitia ubao? "Constructive notice" inatakiwa iende far and beyond ubao wa ndani kuwafikia watu wengi iwezekanavyo, per law and regulations.

Soma vizuri hiyo sheria kaka hata mie ni mwanasheria,,ubao sio tangazo la kificho,inaruhusu pia kuanzia ndani kabla ya kwenda nje.
 
Mtafute njia mbadala, hayo magari yatapita wapi?

Mwambie Masha awaulize wenzie, kwani naye alishakuwa serikali. mbona hawajajenga barbara za kuwezesha magari hayo kufanya kazi vizuri?
 
... hata mie ni mwanasheria,,ubao sio tangazo la kificho,inaruhusu pia kuanzia ndani kabla ya kwenda nje.
Ni wapi sheria imeruhusu kutangaza tenda ndani kabla ya kwenda nje? Mwongo mkubwa!

Unasema wewe pia ni mwanasheria, hili swala halihitaji astashahada ya sheria: sheria ikisema matangazo ya tenda yaanzie ndani si mameneja watajichukulia tenda zote au kuwaambia ndugu zao wa apply kisiri, hiyo ni peddling insider information. Sheria ya wapi hiyo ingeruhusu hilo? Think about it.

Nyinyi ndio mnafanya mwanasheria akiomba kazi kwenye private sector anaulizwa grade point average yake ngapi. Kwenye public sector mnaingizwa na wajomba zenu mnaenda kutuandikia mikataba michafu feki kwa sababu hamuwezi kusoma kinachoandikwa na ma lawyer wa kina Dowans na ma Barrick etc. etc.

Tunapo question uwazi na usafi katika tendering processes zinazosababisha massive corruption in government kama kuna majibu basi ionyeshwe tu kwamba taratibu zilifuatwa, sio kuniambia haijalishi, sijui ma truck yanavutia, uchafu umezidi mjini, nenda mahakamani, una gubu uliomba ukakosa, waliweka tangazo ubao wa manispaa! Ubao wa manispaa my foot! Ubao wa manispaa ya wapi? I'm outta this darn place.

 
haya magari ndo yanatakiwa tanzania nzima sio hayo malori yao ya kubebe mchanga mwenye nayo big up....bonge la dili hilo
 
wajameni kama nd hivyo bc sie wadogo hatuna chetu...tenda yeyote ya gvt mpaka ujulikane,da makweli, alianza kingunge na std ubungo, ss uchafu masha, amakweli tumeliwa--Ila hizo ni fadhila za kukosa ubunge amaaaaaa

Mkuu unataka yale magari maskrepa au unataka nini??

This is a very good initiative na muhimu kwa Tanzania, sasa kilichokukera ni Masha kuwa na hiyo biashara au aina ya magari??
 
Back
Top Bottom