Anheuser
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 1,944
- 662
"Ubao wa manispaa" my foot!Uwe unatembelea kwenye ubao wa manispaa utajua.
Section 61, sub-section 2, Public Procurement Act of 2004 as amended and promulgated regulations zinakataza matangazo ya vificho ficho kama ya "ubao wa Manispaa."
Mianya ya procurement corruption inaanzia kwenye uwazi wa tenda. Wangapi wanapita manispaa kila siku kupitia ubao? "Constructive notice" inatakiwa iende far and beyond ubao wa ndani kuwafikia watu wengi iwezekanavyo, per law and regulations.