mazuri sana aisee afadhali pesa za wizi wazitumie vizuri kuliko wa kina chenge walipoziweka visiwani kwenye mabenki ya nje!Kweli kufa kufaana neema imemuangungukia aliyekuwa mbunge wa mwanza L. Masha
baada ya kupata tenda ya kubeba taka katika jiji la Dar es salaam. Kama wewe ni mkazi wa
dar utakuwa umeyaona haya magari yakibeba taka kube mmiliki wake ni L masha
Mbaya kiasi?
kama Masha hajafuta sheria, ni mbaya kiasi lakini nampongeza...
nenda mahakamanikMbaya kiasi?
Kuvunja sheria za tendering process ni mbaya kiasi?
Janga kubwa linalolikabili Taifa sasa hivi ni public procurement mismanagement and corruption. Tuko gizani sasa hivi kwa sababu ya corrupt tendering system in goverment, inabidi watu wafungwe! Mbaya kiasi?
Misingi ya utawala bora inataka shughuli za biashara na serikali ziwe za wazi na haki. Tunataka kujenga misingi hiyo. Siyo kufurahia tu ukiona truck jipya mjini basi kushangilia kichwa kichwa.
Masha amelipwaje kwenye tenda hii ya kodi yangu? Ilitangazwa lini na wapi? Magari yatakuja kusafisha Kijichi na Kwa Mtogole au yatabaki Oysterbay na Regent? Needs assesment report ya Halmashauri iliyotathmini kwamba ni bora kukodi kuliko kumiliki iko wapi? Ipo at all? I want to know, how do they spend my tax money?
Mbaya kiasi? Tunaangamia kwa ufisadi wa public procument we unasema Masha kama kavunja sheria ni mbaya kiasi?
Huku kwetu Tandale mbona hayaji?
Au yanazoea tu taka za Oyster bay na Masaki? au na Posta huko?
Muhimu ni ubora wa huduma,bila kujali nani mnmiliki wa hii kampuni haya ndio magari ya takataka tunayotaka kuyaona kote Tanzania. Tunapambana na mfumo unaodidimiza maendeleo na sio mtu!Kwangu mtu akija na magari kama haya wala haitaji kushindanishwa ni kumpa maeneo na kusimamia kazi inafanyika!
Tandale barabara za kupita hayo magari zipo, mlivyojijengea hovyo hovyo huko mmeona?
Mkuu unachoongea hapa ni kweli kabisa....jana nilibahatika kukutana na huyu muheshimiwa mstaafu sehemu fulani,Kweli kufa kufaana neema imemuangungukia aliyekuwa mbunge wa mwanza L. Masha
baada ya kupata tenda ya kubeba taka katika jiji la Dar es salaam. Kama wewe ni mkazi wa
dar utakuwa umeyaona haya magari yakibeba taka kube mmiliki wake ni L masha
Acha usanii!...zilitoza wastani wa Tshs 40,000 kwa mwezi na walisomba taka mara mbili kwa wiki. ECO wanatoza takribani 80,000 kwa mwezi ...
Fika pale offisini kwao ukawaulize swali hilo....offisi zao zipo Old bagamoyo road Mikocheni....jirani na Regency park hotelHuku kwetu Tandale mbona hayaji?
Au yanazoea tu taka za Oyster bay na Masaki? au na Posta huko?
mkuu uko juu zaidi ya hili mazeeNasikia ni ya kisasa mno.......yakishazoa taka yanapiga na pafyumu
Kwa hiyo sisi hatustahili kuzolewa taka?
Ipo miaka yote wapi? Imetangazwa lini? Wapi?Achana na kabila langu na mambo ya kijiweni kwangu. That's besides the relevant issues. Tendering process ilianza lini?
Nyie endeleeni na haya