Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano

Replying this with drops of tears.

The situation is to the worst todate. Wakati unaandika hii thread uliona nini? I

MMMA advocates chini ya Lawrence Masha, iliyomwingiza Ridhiwan Kikwete kuwa mmojq wa wanasheria wa iliyokuwa Barrick Gold iliyokuwa inamiliki Bulyanhulu, Tulawaka na Buzwagi enzi hizo kabla haijakuwa Accacia Deo Mwanyika (Leo Mbunge) akiwa mmoja wa wakurugenzi Leo anadhalilika?

Familia ya Kikwete iko wapi? Mzee Kikwete yupo, Ridhiwani yupo Na wengine wapo. Shida ni nini?
 
Huyu si nimeona somewhere anaombewa sijui na nabii gani ,anaambiwa kufulia kwake ni kwa sababu karogwa.
 
Replying this with drops of tears.

The situation is to the worst todate. Wakati unaandika hii thread uliona nini? I

MMMA advocates chini ya Lawrence Masha, iliyomwingiza Ridhiwan Kikwete kuwa mmojq wa wanasheria wa iliyokuwa Barrick Gold iliyokuwa inamiliki Bulyanhulu, Tulawaka na Buzwagi enzi hizo kabla haijakuwa Accacia Deo Mwanyika (Leo Mbunge) akiwa mmoja wa wakurugenzi Leo anadhalilika?

Familia ya Kikwete iko wapi? Mzee Kikwete yupo, Ridhiwani yupo Na wengine wapo. Shida ni nini?
Mshana Jr wakati si milele. What a statement! Ulimwengu Daima ni hadhira isiyo na jema.

Jorojik kwa wengi wetu mahusiano ni transactional. Nipe nikupe. Kwa hao uliowataja, jamaa hana thamani tena. Kuwa naye karibu ni liability.

Kikubwa ni kujifunza. Siku zote majira hubadilika. Na mahitaji ya nyakati ni tofauti pia.

Jamaa ni msomi mzuri tuu. Ajipange upya nje ya mfumo. Ingawa kwa jamii yetu, life is so very unforgiving.
 
Katika maandiko ambayo Mshana Jr umechambua vizuri, basi hili ni mojawapo.

Hili andiko liko kwenye kwenye level ya kuwa article ya ''analysis'' kwenye gazeti lolote lenye heshima.

Umechambua na kuwasilisha ukweli utadhani ulikuwa umepewa kazi ya kurikodi maisha yake. Uchambuzi wa hali ya juu na lugha uliyotumia kuwasilisha pia inavutia.
 
Mshana Jr wakati si milele. What a statement! Ulimwengu Daima ni hadhira isiyo na jema.

Jorojik kwa wengi wetu mahusiano ni transactional. Nipe nikupe. Kwa hao uliowataja, jamaa hana thamani tena. Kuwa naye karibu ni liability.

Kikubwa ni kujifunza. Siku zote majira hubadilika. Na mahitaji ya nyakati ni tofauti pia.

Jamaa ni msomi mzuri tuu. Ajipange upya nje ya mfumo. Ingawa kwa jamii yetu, life is so very unforgiving.
Sahihi kabisa, hii kitu imenipa somo sana.
 
Back
Top Bottom