Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
"Siasa ni kipaji kinachohitaji uzushi, uongo na ndimi nyingi"
Umeeleweka Mshana Jr
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeleweka Mshana Jr
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe ulichokikariri ni 1.5 tri tu? Hiyo Reli, stigler's hutavitumia au havitakunufaisha? Acha kuwa na akili iliyodumaa. Kimsingi kuna vitu ana vifanya sahihi na kuna vitu anazingua vile vile. Sometimes learn Appreciating stuffs no matter watManufaa ya badae yapi? hii yakutia hasara Nch? 1,5t unajua hii Hela ilipo? wadanganyika ni rahisi sana kuwaburuza
Sent using Jamii Forums mobile app
"Siasa ni kipaji kinachohitaji uzushi, uongo na ndimi nyingi"
Umeeleweka Mshana Jr
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli alikua anatafuna wake za watu! Na kutafuniwa mke kunavyouma! Wacha nae wakamtafune kisawa sawa!Huyu dogo alikuwa mpuuzi sana enzi za Kikwete, yaani kipindi alipokuwa waziri. Alitembea sana na wake za watu tena kwa nguvu kutumia madaraka yake. Akafungwe tu, nina ndugu zangu jela wanamsubiri kumvua chupi kwani nilishawapa habari zake. Wapuuzi kama hawa ndiyo wanaopiga kelele kuwa nchi imeharibika wakati wao ndiyo walikuwa wanatuibia na kutufanyia maovu.
Kwa hiyo wewe ulichokikariri ni 1.5 tri tu? Hiyo Reli, stigler's hutavitumia au havitakunufaisha? Acha kuwa na akili iliyodumaa. Kimsingi kuna vitu ana vifanya sahihi na kuna vitu anazingua vile vile. Sometimes learn Appreciating stuffs no matter wat
Siandiki masimango! Sio hulka yangu... Hadhira hushangilia anguko la mtu kuliko mafanikio yake....
Masha anapitia katika kikaango cha moto... Na hadhira isiyo na jema imeanza kumnyooshea vidole kila kona....
Tusimbeze bali tujitafakari kama tunaweza nasi kupitia njia aliyopitia
Dunia ni hadaa ulimwengu ni shujaa
Duh!.karma is bitch
Wana dharau dhidi ya nani? Kwa lipi? Achana nao endelea na 50 zako.Hahaha mkuu. Ila kiukweli watu wa kanda ya ziwa from Mara. Kagera na Mwanza na hata Kigoma wana dharau sana.
Avune alichopanda kama bashite atakavovuna mapando yake,hii jamii ni wazuri kwenye matumizi ya nguvu na sio reasoningKanuni adhimu ya maisha
Jr[emoji769]
Mkuu kama bado una nguvu za kutosha na hakuna kinachokutia uwoga na kwa kufuata utaratibu HAWA VIUMBE ACHA TU WATUMIWE. Huyo mdada wa kichaga na walivyo ma opportunist ni kweli alikuwa hataki au alitarajia afanyiwe makubwa na alipoona hayajatekelezwa ndo kaanza kujishebedua ati kalazimishwa? Labda ni kweli.Kuna Mwanamke mmoja wa Kichagga alikuwa anaishi Kawe na sasa anaishi Mbezi Afrikana ( Jina lake nalihifadhi ) aliwahi kuniambia alichomfanyia huyu Jamaa baada ya Jamaa Kumtongoza, Kumsumbua na Kutishia Kumfukuzisha Kazi katika hiyo Hotel maeneo ya Baharini ambapo Dada huyu alikuwa ni Receptionist hapo hatokuja Kukisahau na ilibaki kidogo tu angemchafua katika Media ila aliamua tu Kumtunzia Heshima yake. Hilo la Wake za Watu nakuunga mkono kwa 100% zote Mkuu. Naomba niishie hapa tafadhali.
Mikataba yote ya kifisadi iliyolitia hasara taifa hili kipindi cha awamu ya nne ilisainiwa kupitia IMMA ADVOCATES!IMMA ADVOCATES .........Hiii kampuni iliwahi kuhusishwa na ufisadi.Enzi zile Mwanahalisi ni gazeti kwelikweli waliandika vizuri,sema tu sikumbuki vizuri.Mwenye data amwage hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlibahatika kukutana naye kwa wavimba mcho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Sijui kwakweli
Jr[emoji769]
Walimpeleka.MAHAKAMAN wakakazia hukumu ndege moja IKO pale chini AIRPORT
NAHISI sikuwanapewaa PESA yakulipia sikuzilizokaa atapata kichaa...jamaa wahunisana walishajipanga ndegezote zimechomoka hio ikapangwa inaendanairobi matengenezooo HAHAAA wajanja wakaiwahii