Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano

Mimi ninaamini kabisa kama kweli atafuata taratibu basi ni dhahiri kuwa atafanikiwa kuendelea na Fastjet yake.

Ila aache kucheza na sympathy za watu kwani hazitamsaidia. Ninavyofahamu ni kuwa kuna kundi la wataalam wanajaribu kumsaidia kukidhi masharti ya Mamlaka ya Usalama wa Usafiri wa Anga.
 
Huyu Masha wa ile Deep Green Solution waliokwapua zile 8 Billion za EPA. He deserves the gallows. Hakuna marefu yasiyo na mwisho.
 
Masha siyo msukuma, ni Mzinza. Japo wazinza wengi wanaelewa kisukuma sababu ya mwingiliano wa kabila lao na wasukuma huko Sengerema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah mzinza. Ni kama Kagera wanyambo wanavyomezwa na wahaya. Binafsi, huwa nawajumuisha wazinza na usukuma, japo ni kweli ni kabila tofauti.
 
Kuna Mwanamke mmoja wa Kichagga alikuwa anaishi Kawe na sasa anaishi Mbezi Afrikana ( Jina lake nalihifadhi ) aliwahi kuniambia alichomfanyia huyu Jamaa baada ya Jamaa Kumtongoza, Kumsumbua na Kutishia Kumfukuzisha Kazi katika hiyo Hotel maeneo ya Baharini ambapo Dada huyu alikuwa ni Receptionist hapo hatokuja Kukisahau na ilibaki kidogo tu angemchafua katika Media ila aliamua tu Kumtunzia Heshima yake. Hilo la Wake za Watu nakuunga mkono kwa 100% zote Mkuu. Naomba niishie hapa tafadhali.

Jamaa ni mpuuzi sana na alikuwa anajiona mno kwani kule kutishia wanawake kuwa atawafukuzisha kazi ni moja ya sifa zake.
 
Hapana, siasa na biashara ndio ulikuwa utamaduni tuliouzoea. Sumaye aliwahi kutushawishi kutundika bendera za ccm kuepuka bughudha za TRA.
Hahaha kweli ccm kichaka cha majambazi.
 
Ni maisha tu na ni hesabu tu za Maisha kaka! Wengi waliamini 2015 Edo angeingia magogonj, hivyo bwana Masha alipiga hesabu hiyo.....bahati mbaya imegoma.. hesabu huwa zinagoma..... zikigoma unahitaji muda, uchill kwanza uitazame safari uliyotoka, wapi umechemka na ipi way forward.... Ni msomi, mpambanaji atasimama tena. Hakuna mwenye hakika ya kesho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manufaa ya badae yapi? hii yakutia hasara Nch? 1,5t unajua hii Hela ilipo? wadanganyika ni rahisi sana kuwaburuza
Ingawa Stone anatubana Kende, anazibana kwa manufaa ya baadae ingawa inatutesa. Ila huyu jomba angeushika usukani tungekula Raha to the fullest tukiwa hatujijui ka ni Sold Out

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni maisha tu na ni hesabu tu za Maisha kaka! Wengi waliamini 2015 Edo angeingia magogonj, hivyo bwana Masha alipiga hesabu hiyo.....bahati mbaya imegoma.. hesabu huwa zinagoma..... zikigoma unahitaji muda, uchill kwanza uitazame safari uliyotoka, wapi umechemka na ipi way forward.... Ni msomi, mpambanaji atasimama tena. Hakuna mwenye hakika ya kesho!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa sometimes MAGAZIJUTO zinagoma

Jr[emoji769]
 
Ni maisha tu na ni hesabu tu za Maisha kaka! Wengi waliamini 2015 Edo angeingia magogonj, hivyo bwana Masha alipiga hesabu hiyo.....bahati mbaya imegoma.. hesabu huwa zinagoma..... zikigoma unahitaji muda, uchill kwanza uitazame safari uliyotoka, wapi umechemka na ipi way forward.... Ni msomi, mpambanaji atasimama tena. Hakuna mwenye hakika ya kesho!

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen na hakika atasimama

Wise words.
 
Back
Top Bottom