Mshana Jr wakati si milele. What a statement! Ulimwengu Daima ni hadhira isiyo na jema.Replying this with drops of tears.
The situation is to the worst todate. Wakati unaandika hii thread uliona nini? I
MMMA advocates chini ya Lawrence Masha, iliyomwingiza Ridhiwan Kikwete kuwa mmojq wa wanasheria wa iliyokuwa Barrick Gold iliyokuwa inamiliki Bulyanhulu, Tulawaka na Buzwagi enzi hizo kabla haijakuwa Accacia Deo Mwanyika (Leo Mbunge) akiwa mmoja wa wakurugenzi Leo anadhalilika?
Familia ya Kikwete iko wapi? Mzee Kikwete yupo, Ridhiwani yupo Na wengine wapo. Shida ni nini?
Sasahivi yupo kwa nabii wa wachawi
Sahihi kabisa, hii kitu imenipa somo sana.Mshana Jr wakati si milele. What a statement! Ulimwengu Daima ni hadhira isiyo na jema.
Jorojik kwa wengi wetu mahusiano ni transactional. Nipe nikupe. Kwa hao uliowataja, jamaa hana thamani tena. Kuwa naye karibu ni liability.
Kikubwa ni kujifunza. Siku zote majira hubadilika. Na mahitaji ya nyakati ni tofauti pia.
Jamaa ni msomi mzuri tuu. Ajipange upya nje ya mfumo. Ingawa kwa jamii yetu, life is so very unforgiving.