Lawrence Masha na Miriam - Kashfa

... i also think its a PRIVATE matter,if Masha's wife is affected by this ataenda kanisani kushitaki au mahakamani sisi SIDHANI kama linatuhusu,tuzungumzie utendaji wake wa kazi.

Sawa.

Ningependa kujua utendaji wake wa kazi katika kuhamasisha vijana wa jimboni kwake kuwa waangalifu na matendo ya ngono ili wasife na Ukimwi au wasitoke mstari wa kuzingatia masomo.
 
Nadhani ishu ya Masha inaonekana kama personal kwa vile kimsingi asilimia kubwa,kama sio 100 kwa mia,ya viongozi wetu ni mafuska na waziznia waliobeobea.However,two wrongs do not make a right.Tunahitaji viongozi waadilifu.

Moja ya sababu zilizokuwa zinanikwaza kumsapoti Muungwana 2005 ni uzinzi wake.Let's be honest.Mtu anaeshindwa kuwa mwadilifu kwa mkewe atawezaje kuwa mwadilifu kwa taifa lenye mamilioni ya watu?Wadanganyika wengi walikuwa wanafahamu fika cv mbovu ya Muungwana wakati anagombea lakini,as some want us to believe here,wakachukulia hilo ni suala binafsi,au siye mzinzi awe wa kwanza kutupa jiwe.Leo hii tunashudhuia mabalozi,ma-RC,wabunge wa viti maalum,ma-DC kadhaa ambao hawakupewa viti hivyo kutokana na harakati za kuwakomboa wanawake au taaluma zao,bali kwa vile "wanafahamiana vizuri zaidi" na Muungwana.

Laiti JF ingekuwa na members sehemu kama Kempinski (may be wapo lakini hawataki kutubainisha wanayoyaona hapo) basi tungejulishwa mengi zaidi kuhusu uzinzi wa wanaotuongoza.It seems kwamba mahala hapo ni miongoni mwa machaguo mazuri ya kuvunja amri ya 6 kwa viongozi wetu.Mzee wa Vijisenti amepafanya hapo kama nyumba yake binafsi ya "kuchinjia"
 
Reactions: kui
Field Marshal, ni juzi juzi tu hapa uliongelea kuhusu ulichokiita nanukuu "tabia chafu za kutembea na wake za watu", sitaki kuiweka hiyo posti hapa, lakini ni wakati ule wa kudiscuss issue kati ya Mwalimu na Malecela baada ya kutokea msiba wa mwanamama mmoja(jina nalihifadhi), ukiitaka hiyo posti nitakuwekea hapa maana ipo mkuu. sasa sijui unalichukuliaje mme wa mtu kutembea na wanawake wengine nje ya ndoa yake!.na pia mara kadhaa umekuwa ukirejea biblia kujenga hoja zako(rejea ishu ya uchawi ) ulipodai kuwa biblia unayoiamini imesema uchawi upo kwa hiyo nawe unaamini upo.sasa mimi nakushangaa unaposimama kutetea upuuzi huu wa kimaadili wa viongozi wetu kwa madai eti "maadamu hajala pesa zetu basi hilo halituhusu", kweli mkuu unaweza kusimama kwenye kioo na kutamka hayo maneno kisha ukaridhika na moyo ukatulia kisha ukalala usingizi safi?, hivi kweli Biblia unayoiamini inatufundisha kwamba Binadamu anaweza kuishi kwa mkate pekee?, yaani maadamu watanzania tunapata ka mkate ketu basi maadili mema ambayo sisi kama jamii tunayakubali, kama vile kutokwenda nje ya ndoa siyo ishu ya kukemea kwa nguvu zote hususan kwa viongozi wetu?,(nimetumia biblia kwa sababu hapo awali umeitumia kuegemeza hoja zako"). kwamba uzinzi siyo ishu?.kwamba tukiwa na kiongozi basha,hiyo siyo ishu yetu, kwamba tukiwa na kiongozi msagaji Watanzania tusikemee maadam haibi pesa yetu, kwamba tukiwa na kiongozi mwenye tabia za kubaka kuku na mbuzi Watanzania tusikemee maadamu hali pesa yetu. Jamani
Binadamu hataishi kwa mkate tu!. ndugu FieldMarshall tunajua kuwa fika Masha ni rafiki yako, na urafiki usikutie upofu ukauficha ukweli ilhali unafahamu jamaa yako amechemsha, Mwambie ajirekebishe lau kama hawezi ajiuzulu, hatuwezi kuendelea kuwapa dhamana viongozi wasiofahamu umuhimu wa kuwa na uchungu wa kulinda na kuziheshimu ndoa na familia zao,hao watu wataweza vipi kulilinda na kuliheshimu Taifa?
 
 

Kikwete amefunga ndoa inayoitwa Potentially Polygamous. (The Marriage Act, 1971, Part II (a), Sect. 10 (b)) Wale vimada wake walikuwa ni wake zake potential!

Na pia, true to his rep, hivi karibuni tumesikia amebadili potential energy zake kuwa kinetic energy za mwili kwa kuoa mwingine, tunaeambiwa anakaa masaki (sijui kama ni kweli). Kwa hiyo, alikuwa sio fuska kwa sababu alikuwa ana testi zali za potential wives. Na Salma alijua toka mwanzo kwamba mumewe ni potential polygamist.

Kakosea nini?
 

Mkuu Gamba La Nyoka,

Heshima mbele mkuu, hivi una uhakika gani kuwa hizi habari against Waziri Masha, ni za kweli kabla hatujaenda mbali sana?

Naomba uthibitisho wako kuwa hizi habari ni za kweli?
 
safi nilikuwa nakuja kumjibu FMES huwa anasahau alichoandika zamani.....kamsakama member mmoja hapa kuwa ana mcheat mkewe na akamtishi atamshitaki kwa mkewe......

Mkuu ES unataka uhakika wa bwana Lau kutembea na vimada?? wewe una uhakika gani kama mafisadi mnaowaita ni mafisadi kweli? kama sio habari za mitandanoni tu?? wewe una uhakika gani kama member uliemsema kuwa ana mcheat mkewe kama ni kweli??
 

Naona hoja za msingi zimeisha, ahsante wakuu, kwaherini.
 


FMES. You are among my favorite wachangiaji on our Baraza, but on this one.....mmmmmmm?!?!
 



Mama Mia!! Mbona umekuwa mkali ghafla????
 
Jamani mimi huyu MAMA MIA amenikwaza sana...........nashawishika sana kuamini ndo mhusika mwenyewe anaye vunja amri ya 6 na mheshimiwa na nina amini ndiye wanaye shilikiana kutumbua fedha zetu sisi walalahoi hii kauli aliyo itoa mmmh! sijui wanaJF mnasemaje?



NENDA NA WEWE UKAZITUMIE KAMA ZINALIWA KIRAHISI
 
Originally Posted by MAMA MIA
WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY


KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???

MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK

LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA

NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA

engima!!!!kila mtu kwa starehe yake

bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee

WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA

WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA



Mama Mia!! Mbona umekuwa mkali ghafla????


MKUU HAPANA SIKUWA MKALI BALI KILICHOJAA HUMU NI UNAFKI NA UDAKU!!!1
KWELI KUMEKUWA NA MAWAZIRI KAMA SI VIONGOZI WENGI KUWA NA NYUMBA NDOGO
....PILI HAKUNA MTU ANAERUHUSU NYUMBA NDOGO NA WALA SIJASHAURI HIVYO NAOMBA NIELEWEKE ILA KAMA DINI YETU YA KISSLAMU INARUHUSU WANAWAKE 4..HIYO NA SIYO NYUMBA NDOGO.....MTAJUAJE HUYO MARIAMA MSILAMU NA DINI YAKE INAMRUHUUSU...LINGINE KUNA UHURU WA KUANDIKA ILA KUMRADHI KWA WALIOUMIA KWA YLIOANDIKWA HAPO JUU!!!!KAMA MMESOMA HUYO KIJANA TATIZO LAKE LILIKUWA WALA SI KIJANA KUTEMBEA NA BI MDOGO BALI UTAONA MAMBO YA ROSE GARDEN NK...WEWE ROSE GARDEN WANAKAA WATU WENGI WACHA MASHA WAZIRI ....MAMA MIGIRO NA WENGINEO WANKLUJA KULA PALE KWANZA AOMBE RADHI KWA MWENYE HIYO BAR!!!HUU NI UCHAFUZI WA BIASHARA!!!MWISHO ENIGMA KAMA UMETUMWA AU NI MSHAURI WA.....NA KUSHAURI UNA UWEZO MKUBWA KUFIKISHA UJUMBE KWAKE FANYA HIVTYO BADALA YA KUKIMBIZANA NA INTERNET::::MI SI MARIAMA NA WLA SIMJUI HUYO BINTI!!!!ILA NAPENDA NIWAULIZE NYIE MNAOPIGA KELELE MNAJAUA DADA ZENU WANATEMBEA NA WAUME ZA WATU WANGAPI????????AU KWASABABU WANAVAA VILE VIUNIFORM VYA SHULE MNAHISI WASTAARAB

TOA BORITI JICHONI MWAKO KWANZA KABLA YA KIBANZI KWA MWENZIO
UJUMBE KAMA UNAUMIA SANA NA NAONA WENGINE MASHEMEJI ZAKE HUMU WALIOWAPITIA DADA ZAO WAKACHWA WANALALAMIKA ANATUMIA HELA VIBAYA KAMA UNAJUA MWONGOZO WA HELA WASILIANA NAE TU HANA SHAKA ANGALIA TU UWE MAKINI

"""""""""""UKITAKA KULA SHARTI ULIWE""""""""""""""""""""""""
RGDS
MAMA MIA

1))HUYO ENINGMA SIMS ANAJUA SANA HUYO MARIAM NA KAMA NDIO KULIKUWA NA
UNAFIKI GANI WA KUSHINDWA KUMFWATA KUMWELEZA UKWELI ANAOUSEMA

2))
 
masha ni public figure so si vibaya private zake kujulikana na hasa zikiwa na uhusiano na kufuja mali za umma!
 
should we close this thread?
 
should we close this thread?NEXTY????
 
should we close this thread?

Mkuu naona imefika wakati mwafaka wa kuifunga hii Thread......kwa sababu huko tunakokwenda,tutawaweka Uchi hawa Watawala wetu,hakuna alie msafi hapo....Mkuu nakuomba tena uiondoe hii thread,tuangalie mambo mengine, yenye maana na Faida kwa Jamii yetu,nafikiri kama ni kuifikisha message kwa Mheshimiwa Waziri,Message imekwishafika......
 
Mkuu naona imefika wakati mwafaka wa kuifunga hii Thread......kwa sababu huko tunakokwenda,tutawaweka Uchi hawa Watawala wetu,hakuna alie msafi hapo....Mkuu nakuomba tena uiondoe hii thread,tuangalie mambo mengine, yenye maana na Faida kwa Jamii yetu,nafikiri kama ni kuifikisha message kwa Mheshimiwa Waziri,Message imekwishafika......
__________________


UMETUMWA USHINDWE NA ULEGEE????????????????
 
mwenye data za mwawado amwage nyuki humu

hawa ndio watumwa wa mafisadi
 
mwenye data za mwawado amwage nyuki humu

hawa ndio watumwa wa mafisadi

Shukran Mkuu Nimekusikia na nimekuelewa.....Nangoja mwenye data zangu azimwage humu ili nami nichambuliwe.....ndio Demokrasia yenyewe hiyo!!!Lakini kumbuka Mkuu kuwa hata hiyo Demokrasia ina mipaka......Mwisho napenda kukanusha kuwa "Mimi sio Mtumwa wa Mafisadi".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…