Lawrence Masha na Miriam - Kashfa

Lawrence Masha na Miriam - Kashfa

Shukran Mkuu Nimekusikia na nimekuelewa.....Nangoja mwenye data zangu azimwage humu ili nami nichambuliwe.....ndio Demokrasia yenyewe hiyo!!!Lakini kumbuka Mkuu kuwa hata hiyo Demokrasia ina mipaka......Mwisho napenda kukanusha kuwa "Mimi sio Mtumwa wa Mafisadi".
__________________
HAHAHAHAAAAAAAAA KAKA nilikuwa natania tu mkuu kumradhi si haiana!!!!!!
tuendelee mkuu tuko pamoja!!!!1br
 
should we close this thread?NEXTY????

Hii topic isifungwe iache iwepo watu wakichoka kuchangia itajifia tunaharaka gani?????
Hakuna haja ya kuutetea wala kuufumbia macho ufuska haijalishi unafanywa na nani. Hakuna mwenye haki ya kutoiheshimu ndoa yake hata kama ana madaraka makubwa kiasi gani malaya ni malaya tu awe mwanaume awe mwanamke,awe raisi, waziri au mpiga debe jina lao moja as long as wanachokifanya kinafanana. Kama mtu ana imani inayoruhusu wake 4 basi aende kwa wanaume/wanawake wenye imani hiyo ili aoe/aolewe kihalali na kuikimbia ZINAA, otherwise, kanyaga twende we are calling a SPADE a SPADE no 'sugar quoted'. Kama inauma au ni udhalilishaji basi wahusika wabadilike, hii forum ni kama fasihi ni kioo cha jamii kwahiyo kama mheshimiwa anapitia hapa au ana wapambe hapa basi achukue hatua. Tukubali kunyooshewa vidole pale tunapokosea na sio kujifanya UNTOUCHABLE,haisaidii manake kuna methali ya kiswahili inasema " anayeficha maradhi, kilio kitamfichua".
I am out till next time.
 
Ktk Kuoa wake 4 hakuona "KUONJANA"..., ni NDOA tu fullstop!! hivyo Kuhani usipotoshe!!!
 
Mhhh, Naona na sisi tumezidi mno kuingilia maisha binafsi ya watu. Kwani mtu hawezi kuwa na vimada mpaka atumie fedha za serikali, ni nani kati yetu anaweza kuhaklikisha kuwa fedha za serikali ndizo zinazotumika kugharamia hao akina mama ? Kama Masha anatumia mshahara wake tatizo liko wapi ? Hivi hatuwezi kupanga na kuongea mambo ya maendeleo ?
 
Ktk Kuoa wake 4 hakuona "KUONJANA"..., ni NDOA tu fullstop!! hivyo Kuhani usipotoshe!!!

Kuoa wake wanne sijui inakujaje hapa. Sheria inaruhusu kuoa wake saba mara sabini. (The Marriage Act, 1971, Part II (a), Sect. 10 (b))

Kwa hiyo, hao wanawake wote wa pembeni ni "dates" ambao ni potential wives.

Na nani hapa, hususan uzao wa kisasa, atasimama aseme hajawahi "kuonja" dates ?

Utasema, yeye mbona ana "dates" wengi? Kumbuka, utamaduni, kama sio sheria ya wake wengi, inaruhusu kuwa na "dates" wengi na wake wengi!
 
Kuoa wake wanne sijui inakujaje hapa. Sheria inaruhusu kuoa wake saba mara sabini. (The Marriage Act, 1971, Part II (a), Sect. 10 (b))

Mkuu!
Check ur references..LMA 1971 YA NCHI GANI? kwa vile ya Tanzania haina kitu kama hiki! JF among other things inaelimisha pia.Hivyo basi tusipotoshe wana JF kwa kuwafanya wadhani hii ndio position of the Law!
 
Mama mia nakubaliana na wote waliomshangaa kuwa yeye pia amefuga mume wa mtu. Ndiyo wale wasiotaka kuishi maisha ya ndoa kwani ati hawataki kufugwa. Angekuwa mama mwenye busara asingejibu utumbo namna hiyo. Angekuwa ameolewa halafu mume wake anamtosa au anakuwa na affairs nje ya ndoa yao moyo ungemuuma sana na asingethubutu kujibu kihuni namna hii. Nawapongeza wanaume wote waliolaani kitendo hiki.

Hata kama mume ana cheat but wengine ni reserved jamani. Japo sikubaliani kabisa na ukosaji wa heshma ndani ya ndoa.

Na wale mlio karibu na mwasha hasa wale wanaokutania pale rose garden msaidieni huyu jamaa mwasha kama mlivyomshauri akaacha kuja rose garden na gari ya serikali. Kuna siku nilikuwa pale rose garden mwasha alirudi safarini toka dodoma na kabla hajafika nyumbni akapitia rose garden na gari ya serikali. Cha kushangaa kabisa akapata bia mbili tatu then akapanda juu ya meza akakaa. Kweli sikufurahia sana. Hata kama ana uhuru wa kufanya atakayo lakini kwa wadhifa aliyo nao matani au masihara mengine ni lazima aachane nayo. Awe mtu reserved ana ataheshimiwa.

Hata hivyo hii post ni muhimu na imeamsha hisia za wengi lakini ni tatizo sugu sana kwa viongozi wetu na sijui tutafanyaje tuweze kuchangia mawazo wa namna ya kuiboresha tume ya maadili ya viongozi wa umma.

Naomba kama kuna mwana jf mwenye taaarifa kama tume ya maadili ya uongozi watafanya any public consultation kuhusu namna bora ya kuifanyia reform taasisi hiyo. Asanteni.

Bora hilo la kupanda juu ya MEZA Mwanza akiwa amechemka na Bia alitukanana na wapiga kura wake na kutoa Bastora akiwa King cassino na kutishia kumpiga mtu, sasa hii ndiyo nini kwa waziri kama yeye
 
Kaaaazi kwel kwel lakini mie sioni jipya hapa sisi waafrika hatuna kiburudisho zaidi ya wanawake, pombe na ngoma! mmesahau kile kipindi wabunge walikuwa wanauchafua mji wa dodoma?mpaka ikafikia wakati waheshimiwa sana wakawa wanaambiwa wakienda kwenye vikao waambatane na wake zao? Leo hii hata kama ni wewe ungekuwa MASHA sidhani kama usinge behave the same labda ungetumia mbinu nyingine tofauti na ya mhe Masha. Kwani nani hajui kuwa hata muungwana anaendekeza libeneke?
 
Kikwete amefunga ndoa inayoitwa Potentially Polygamous. (The Marriage Act, 1971, Part II (a), Sect. 10 (b)) Wale vimada wake walikuwa ni wake zake potential!

Na pia, true to his rep, hivi karibuni tumesikia amebadili potential energy zake kuwa kinetic energy za mwili kwa kuoa mwingine, tunaeambiwa anakaa masaki (sijui kama ni kweli). Kwa hiyo, alikuwa sio fuska kwa sababu alikuwa ana testi zali za potential wives. Na Salma alijua toka mwanzo kwamba mumewe ni potential polygamist.

Kakosea nini?

Ni kweli anakaa Masaki kweny nyumba ya Rostam Aziz. Ila ni ati wameshakubaliana kuwa atamrudisha kwao ili kuzima so maana nasikia kuna kundi linataka kulipua mambo yake. Na binti amekubali. Na pia ndoa rasmi bado, hizo ni tetesi. Mwenye ukweli aseme kama kweli hakuna ndoa rasmi. Hapo awali nilisikia kuna picha za ndoa hiyo zilikuwa zinatembea kwenye mtandao. Kama kuna mwenye nazo adondoshe hapa ili kukata mzizi wa fitina.

Jueni kwamba Salma amevumilia mengi ya JK. Ingekuwa ni mimi liwalo na liwe ningeshafunga virago. Au pengine anaogopa kwa kuwa kipato chake ni kidogo au pia anapenda kuolewa na mtu maarufu. But to me to hell with it acha nikauze mkaa. Samani kwa wana Mazingira, ndo biashara inayolipa siku hizi baada ya zali la Richmond.

Ukweli ni kwamba hata kama dini zinaruhusu kuona 7 times 2 or 2 times 2 but hakuna mwanamke anapenda ku share love. Love in indivisible jamani. Asikudanganye mtu. Hakuna fair share in love sharing.
 
Bora hilo la kupanda juu ya MEZA Mwanza akiwa amechemka na Bia alitukanana na wapiga kura wake na kutoa Bastora akiwa King cassino na kutishia kumpiga mtu, sasa hii ndiyo nini kwa waziri kama yeye

Angalia Tz tusivyoijua sheria (majority). Ingekuwa nchi za wenzetu leo hii Masha Ubunge na uwaziri hana kutokana na kutishia kuua kwa kuwa hasa yeye ni Mwanasheria anaifahamu vema sheria.
Ufisadi ni wa aina nyingi si lazima ukwapue mihela tu. Unajua hilo ni tatizo la ulimbukeni tu. Mbona watu wengine wana hela tena clean money but wanajiheshimu? Nimegundua hela inayopatikana kwa njia za kifisadi nayo hutumika kwa matumizi ya kifisadi.
 
ni kweli anakaa masaki kweny nyumba ya rostam aziz. Ila ni ati wameshakubaliana kuwa atamrudisha kwao ili kuzima so maana nasikia kuna kundi linataka kulipua mambo yake. Na binti amekubali. Na pia ndoa rasmi bado, hizo ni tetesi. Mwenye ukweli aseme kama kweli hakuna ndoa rasmi. Hapo awali nilisikia kuna picha za ndoa hiyo zilikuwa zinatembea kwenye mtandao. Kama kuna mwenye nazo adondoshe hapa ili kukata mzizi wa fitina.

Jueni kwamba salma amevumilia mengi ya jk. Ingekuwa ni mimi liwalo na liwe ningeshafunga virago. Au pengine anaogopa kwa kuwa kipato chake ni kidogo au pia anapenda kuolewa na mtu maarufu. But to me to hell with it acha nikauze mkaa. Samani kwa wana mazingira, ndo biashara inayolipa siku hizi baada ya zali la richmond.

Ukweli ni kwamba hata kama dini zinaruhusu kuona 7 times 2 or 2 times 2 but hakuna mwanamke anapenda ku share love. Love in indivisible jamani. Asikudanganye mtu. Hakuna fair share in love sharing.

mods...
Naona kama tunaenda mbali vile!!??? Tafadhali
 
msimlaumu masha jumbe mwenyewe jk ndio zake ,hapa hatuna viongozi imekula kwetu maana aliyeshikilia mpini ndie kiranja wao big up masha kwa kumfuata ur boss
 
Jueni kwamba Salma amevumilia mengi ya JK. Ingekuwa ni mimi liwalo na liwe ningeshafunga virago. Au pengine anaogopa kwa kuwa kipato chake ni kidogo au pia anapenda kuolewa na mtu maarufu. But to me to hell with it acha nikauze mkaa. Samani kwa wana Mazingira, ndo biashara inayolipa siku hizi baada ya zali la Richmond.

Ukweli ni kwamba hata kama dini zinaruhusu kuona 7 times 2 or 2 times 2 but hakuna mwanamke anapenda ku share love. Love in indivisible jamani. Asikudanganye mtu. Hakuna fair share in love sharing.

Maane,

Amevumilia mengi vipi wakati alishajua toka siku ya kwanza kwamba wanafunga ndoa ya wanawake wengi ? Hawezi enda uza mkaa leo wakati alishajua yuko tayari kugawanya penzi. Mimi na wewe ndio hatuwezi, mwenzetu anaweza. Alikubali mwenyewe.

Yani, tumeshawabana wanawake mbavu vibaya mno, tumeandika katika sheria mwaka 1971 kwamba sisi tunaweza kuoa tunavyotaka, lakini nyinyi hamfurukuti, ni mme mmoja. Ha haa haaaaaa! Wewe na mimi ndio tunaona ya ajabu haya, baadhi ya wengine - wakiwemo wanawake - wanakubali.
 
Usikate tamaa. JF ni sehemu nzuri sana na ya watu wenye busara, majority. Minority wengine wanaiharibu. Hujui humu pia kuna mafisadi au vibaraka wao? Tena wanatuharibia themes nyingine ili zikose mwelelekeo? Any way, tukishawajua through postings zao ni kuwapiga chini tu. Kazi kwako moderator. Unajua wengine utawatanmbua kwa namna wanavyochangia au kuibua issue za uongo tu. mwenzetu aliimba "utawatambua kwa matendo yao" mimi nasema "utawatambua kwa aina ya posting zao za uzushi na uchangiaji wao wa kizushi".


According to Stener (2005), a text has got sound. I agree with Stener, when you read a text, is easier to recognize the mood which the writer had at a time, either was happy, angry or emotionally. For moderators, please pass through each text posted in this JF, those which would be seemed to spoil the intention of agenda, don't allow them. I side with Maane.
 
Jamani, tusisahau tabia za wanaume wa kibantu, kuoa na kuwa wanawake( mistress) nje ya ndoa ni kawaida kabisa, hasa kwa wale ahaa kipato si haba.
Na nani aliwaambia kuwa Masha ni mlokole hawezi kuwa na mistress, binfsi sioni kama ni jambo geni la kuongelea humu, kwani kwa wanaume wengi ndivyo wafanyavyo wanapoona vipato vyao viko juu- sio Kilongola.
Kama anatimiza mahitaji kwa mke na familia basi aendeleze libenenge kwani hata waliomtangulia nao vivyo hivyo sasa mfano aige wapi?
Aluta continua na ma_mistresses....................baaadae...........lukemia...st John hosp...............Amen.
 
Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other.

They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives
and indulging in sex.


Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence
.

Ndivyo tulivyo tunashabikia mambo ya kijinga uasherati, wezi wanaiba tunaandamana kuwaunga mkono, tunaibiwa tunawapa wezi muda wa kutanua uraiani wakibembelezwa warudishe pesa walizoiba.

TANZANIA TUMEKWISHA !!!!!!!!
 
Njoo uzitumie zangu ni clean sio hizo mnako jipeleka huko kwa kujigonga gonga zitakuja watokea puani...........
__________________
nenda STANBIC UKAWAONYESHE FEDHA ZILIZO CLEAN NA CHAFU!!!!UKIPATA NJOO NIKUONYESHE MATUMIZI YAKE SI KULALA NAZO VYUMBANI MKATUNZIA MAJAMBAZI
 
Jamani kuwa mpenzi wa pembeni wa kumpooza siku moja moja siyo tatizo,pia ni mpenzi wake wa siku nyingi.
Mwacheni afanyekazi zake hela alikuwa nayo hata kabla ya kuwa waziri. Tusimwonee wivu. cha msingi anafanyakazi bila tatizo.
Mwanaume gani anaweza KUSIMAMA na kusema hajawahi kucheat hata siku moja either kwa mkewe au girlfriend wake?

Mfano mdogo sana: Fikiria unapopata girlfriend mpya kabla hujamwamcha uliyenae huwa hu-cheat???????????
 
Back
Top Bottom