Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Ilikuwaje best huu ubuyu umenipitaWoga ndo akili sasa, na toka pale kajua nini maana ya maisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwaje best huu ubuyu umenipitaWoga ndo akili sasa, na toka pale kajua nini maana ya maisha.
Hawanunui hata hizo cdHao ni mashabiki waliompendea mziki siyo chakula. Wanampenda kama mwanamziki siyo kama mama ntilie
Nadhani watakuwa wanakula bure mkuu. Kwasababu kama wanalipa halafu anaongea hayo, amefukuza wateja.Ni stress tu za kufulia kimziki na kukosa kiki,huwezi kulazimisha watu wale kwenye mgahawa wako hata kama ni madhabiki,kusikiliza nyimbo zako ni support tosha wamependa mziki na siyo misosi yenu,mnawaforce wale kwenu mwisho wa siku wanakula bure.
Stress za kukosa mtoto. Wakurya hawana stress siku hiziJayDee ana makasiriko sana, sijui kwasababu ni Mkurya!
Hivi Lady Jaydee sio rasta?JayDee ana makasiriko sana, sijui kwasababu ni Mkurya!
mkuu tahadhali mdomoni iwepo na katika vidole pia.Stress za kukosa mtoto. Wakurya hawana stress siku hizi
M
Hivi Lady Jaydee sio rasta?
Stress za kukosa mtoto. Wakurya hawana stress siku hizi
Wee mbna ilivuma sana.Ilikuwaje best huu ubuyu umenipita
Aidha Umekurupuka au wewe ndio wale wanafki wenyewe aliowasema.Kweli kabisa mkuu. Huwezi kumlazimisha mtu ale kwako eti kisa ni rafiki yako.
Hata mziki pia huwezi kulazimisha nikusupport kama unachoimba sijapenda, nikikusupport itakuwa kwa muda mfupi maana nasupport kitu anbacho sijapenda.
Maneno magum sana haya mkuu mpaka nimejiskia vibaya kabisaamkuu tahadhali mdomoni iwepo na katika vidole pia.
usiwe mropokaji kama kahaba mlevi wa pombe kali.
unawezajiona una furaha kwa huyo mtoto shababi uliyepata wahuni wakaanza kumkaza na kengere zake mbili.
Naunga mkono hoja.Ni stress tu za kufulia kimziki na kukosa kiki, huwezi kulazimisha watu wale kwenye mgahawa wako hata kama ni mashabiki, kusikiliza nyimbo zako ni support tosha wamependa mziki na siyo misosi yenu, mnawaforce wale kwenu mwisho wa siku wanakula bure.
Sawa lakini ukweli ndio huo. Watu wanasupport vitu wanavyopenda kama wanakusupport just kukusupport haiwezi kudumu itakuwa kwa muda mfupi tu maana wanakuungisha tu. Lakini kama unafanya kitu wanapenda, watakuja wao wenyewe. Usifanye kitu ili mradi ukitegemea watu wakubackup kisa wewe ni rafiki yao, backup itakuwa kwa muda mfupi tuAidha Umekurupuka au wewe ndio wale wanafki wenyewe aliowasema.
Lady Jay De ana kisirani sana ,kuna siku nilikuwa airport kwenye dirisha la ofisi za kampuni ya ndege nahudumiwa ,nashangaa naguswa bega eti " sogea nina haraka sana nihudumiwe" nikamwambia rudi nyuma mimi hapa nasubiri huduma pia " akasonya na kurudi nyuma,akaona aibu kwa walio nyuma.Naunga mkono hoja.
JayDee ana kisirani na anapenda kujikuza.
Kama muziki wake ungekuwa mzuri, ungejiuza wenyewe.
Kama anauza bidhaa nzuri, zitajiuza zenyewe.
Mimi namjua kitambo kabla hajajulikana kwenye muziki, na ulivyomuelezea ndivyo hivyo hivyo ninavyomjua.Lady Jay De ana kisirani sana ,kuna siku nilikuwa airport kwenye dirisha la ofisi za kampuni ya ndege nahudumiwa ,nashangaa naguswa bega eti " sogea nina haraka sana nihudumiwe" nikamwambia rudi nyuma mimi hapa nasubiri huduma pia " akasonya na kurudi nyuma,akaona aibu kwa walio nyuma.