Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Hapana siyo.Sema alilala kudhulmiwa Mali.Ndie yule alikuwa balozi ubelgiji alienda kumsabahi lissu hospitalini Jiwe akammaindi na kumrudisha homu?
R.I.P
Ndie yule alikuwa balozi ubelgiji alienda kumsabahi lissu hospitalini Jiwe akammaindi na kumrudisha homu?
R.I.P
Kawaambie waasisi wa nchi kuwa huku Tz siku si nyingi Ikulu inaamishiwa Chattle.
R.I.P Lazaro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana uhusiano gani na Mh. E.Sokoine?Familia Ya Marehemu Edward Moringe Sokoine, Inasikitika Kutangaza Msiba wa Lazaro Edward Sokoine Kilichotokea Leo Alfajiri 28/03/2020 Jijini Dar Es Salaam.
Mwili Wa Marehemu Unatarajiwa Kuwasafirishwa kwenda Arusha Monduli Juu Siku Ya Jumatatu, Na Mazishi Yatafanyika Siku Ya Jumanne Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina La Bwana Lihimidiwe
Namelock Edward Sokoine - MNEC
Kny; Familia
Mtoto wake.Ana uhusiano gani na Mh. E.Sokoine?
macson
...Naona Mkuu ametupa tu taarifa isiyo kamilika.
Yule anaitwa Joseph SokoineNdie yule alikuwa balozi ubelgiji alienda kumsabahi lissu hospitalini Jiwe akammaindi na kumrudisha homu?
R.I.P