TANZIA Lazaro Edward Moringe Sokoine Amefariki Dunia

TANZIA Lazaro Edward Moringe Sokoine Amefariki Dunia

Weka na kapicha basi..... Binafsi simjui na sijawahi kumsikia
 
Nasikia ndie kifungua mimba Wa hayati Edward Moringe Sokoine

Sema Kijana amekuwa mzembe sana yaani amekufa ameacha watoto wawili tu kwa umri wake wakati baba yake aliacha 11 na wamepishana miaka miwili tu ya kuishi. Hakujituma sana huyu marehemu katika kukuza ukoo ...

# Akili za self isolation.
Ndo first born wa Sokoine? Mbona kama taarifa haijawa kamili?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki kichwa kilikuwa maji sana hata mzee wake alijua
Unaweza kumfananisha na Makongoro wa mwalimu
 
RIP Lazaro.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom