mangimeza
Senior Member
- May 13, 2011
- 190
- 98
Lazaro ni mtoto wa kwanza wa Hayati Edward Moringe Sokoine....Naona Mkuu ametupa tu taarifa isiyo kamilika.
Sio kila MTU atafahamu nafasi ya marehemu kwenye jamii kwa kuona tu majina yanayofanana na Mzee wetu Marhum Edward Moringe Sokoine....
Ni Mwanaye, Ni mdogo wake, ni kaka yake no nani wake Mheshimiwa Edward Moringe Sokoine??
Sio lazima kwamba ukitaja tu Nina basis kila MTU atafahamu nafasi yake Marehemu kwenye huo Ukoo Mahuhuri was Mzee Wetu...,
Sent using Jamii Forums mobile app