Haitasaidia marehemu hawarudiKawaambie waasisi wa nchi kuwa huku Tz siku si nyingi Ikulu inaamishiwa Chattle.
R.I.P Lazaro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani.Ndie yule alikuwa balozi ubelgiji alienda kumsabahi lissu hospitalini Jiwe akammaindi na kumrudisha homu?
R.I.P
Ni Mzee wenu Hugo? Basi wewe ni ka kifaranga!
Ahaaahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Hakuna Mtu Mwenye tabu huku ulimwenguni kama MuAfrika pamoja na tabu zote anazopitia maishani akifa pia hapumziki anatakiwa Tena awe mzimu wa kutatua matatizo ya nchi/ ukoo wake.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora chato kuliko hai [emoji1][emoji16]Kawaambie waasisi wa nchi kuwa huku Tz siku si nyingi Ikulu inaamishiwa Chattle.
R.I.P Lazaro.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa umenichekesha sanaHakuna Mtu Mwenye tabu huku ulimwenguni kama MuAfrika pamoja na tabu zote anazopitia maishani akifa pia hapumziki anatakiwa Tena awe mzimu wa kutatua matatizo ya nchi/ ukoo wake.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app