TANZIA Lazaro Edward Moringe Sokoine Amefariki Dunia

Lazaro ni mtoto wa kwanza wa Hayati Edward Moringe Sokoine.
 
RIP Lazaro.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Unapoandika RIP kwa tafsiri yako huwa una maanisha Nini .je ni hii hii ya Rest in Peace.?? Na km ni hiyo inakuaje unaitumia wakati ww n Atheist??

One love
 
Unapoandika RIP kwa tafsiri yako huwa una maanisha Nini .je ni hii hii ya Rest in Peace.?? Na km ni hiyo inakuaje unaitumia wakati ww n Atheist??

One love
Kwanza kabisa, peace ni nini?

Na nikimaanisha Rest in Protons itakuwaje?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kwanza kabisa, peace ni nini?

Na nikimaanisha Rest in Protons itakuwaje?

Sent from my typewriter using Tapatalk
Peace ni amani ..na tunaandika hvo tukiamini katika ulimwengu wa roho kuwa aliyefariki anaenda kulala salama

One love
 
Ukimaanisha Rest in proton ..hiyo itakua Haina sense....

One love
Kwa nini, miili inakongoroka na protons hazina uhai kama wetu, mtu akifa ana decompose.

Wewe unayeamini kuna maisha baada ya kifo ndiye ukisema Rest In Peace inakuwa haina semse, kwa sababu kama roho haifi, na mtu anasubiri hukumu ya Mungu, hapo hamna peace mpaka ajue kesi yake itatolewa hukumu gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…