DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
mnaweza kuthibitisha ?Ulichosema kama kina ukweli hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnaweza kuthibitisha ?Ulichosema kama kina ukweli hivi
Lazaro Nyalandu mwanasiasa mwenye hekima ya hali ya juu ambaye amewahi kuwa Waziri na mbunge kutokea CCM ushindi wake umedhihirisha ndani ya chama wanachama wote wana haki sawa hata kama umejiunga na chama hicho siku za usoni.
Vipi mwakani ni nani atachuana na mwenyekiti wa CCM mkuu?.nitajie tafadhali.Ole wake hajaonyesha nia ya kuwania kiti cha mbowe.
Leo naona umeandika kwa busara siyo kama ile jana ulipoleta matokeo ya kanda ya kusini.WanaJF
Habari za hivi Punde kutoka kule Kanda ya Kati zinasema Lazaro Nyalandu amechaguliwa kwa kishindo kikubwa kuongoza CDM katika kanda hiyo.
Nyalandu amepata kura 60 dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda hiyo Alphonce Mbassa aliyepata kura 26.
Lazaro Nyalandu mwanasiasa mwenye hekima ya hali ya juu ambaye amewahi kuwa Waziri na mbunge kutokea CCM ushindi wake umedhihirisha ndani ya chama wanachama wote wana haki sawa hata kama umejiunga na chama hicho siku za usoni.
Kwa ushindi huu sasa Lazaro Nyalandu anaingia kwenye vikao vikuu vya maamuzi kama Mjumbe wa Kamati Kuu
Huyu alistahili kuwa upinzani,anajitambua na hakuondolewa ubongo wakati wote akiwa Tawala.Anastahili. Kwa muda mfupi aliojiunga, ameonekana akifanya kazi kubwa ya kukiimarisha chama na kujiimarisha yeye mwenyewe. Zilionekana wazi juhudi zake binafsi alizokuwa akizifanya.
Na huyu alijiunga CHADEMA akitokea CCM kwa namna ya pekee kidogo. Nadhani ni mtu wa pili kutoka CCM aliyeamua kuacha ubunge na marupurupu yote. Walio wengi wanajiunga na upinzani baada ya kutemwa na CCM.
Hongera sana Nyalandu. Nina imani, chini ya uongozi wa Nyalandu, kanda ya kati inaenda kubadilika, na kuongeza kanda zenye watu wenye uelewa juu ya umuhimu wa kuwa na watawala wanaoheshima katiba, sheria, haki, uhuru wa maoni na haki za kidemokrasia.
Viongozi wa CHADEMA, ni muhimu sana kutumia mbinu za chini kwa chini, kama ambavyo amekuwa akifanya Nyalandu, kuliko kutegemea mikutano ya wazi.
Nguvu kubwa itumike kuwapa watu elimu katika makundi madogo madogo. Watu wakiwa na uelewa, wakapata elimu sahihi, hakuna mtu asiye mnafiki atakayeunga upuuzi kama huu uliotokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mfano ni Sumaye na yule mbunge wa Ndanda.With all due respect Hon. Victoire , would you kindly validate your outspoken statement with vivid, relevant and lively examples as far as those allegations are concerned ?
Anastahili. Kwa muda mfupi aliojiunga, ameonekana akifanya kazi kubwa ya kukiimarisha chama na kujiimarisha yeye mwenyewe. Zilionekana wazi juhudi zake binafsi alizokuwa akizifanya.
Na huyu alijiunga CHADEMA akitokea CCM kwa namna ya pekee kidogo. Nadhani ni mtu wa pili kutoka CCM aliyeamua kuacha ubunge na marupurupu yote. Walio wengi wanajiunga na upinzani baada ya kutemwa na CCM.
Hongera sana Nyalandu. Nina imani, chini ya uongozi wa Nyalandu, kanda ya kati inaenda kubadilika, na kuongeza kanda zenye watu wenye uelewa juu ya umuhimu wa kuwa na watawala wanaoheshima katiba, sheria, haki, uhuru wa maoni na haki za kidemokrasia.
Viongozi wa CHADEMA, ni muhimu sana kutumia mbinu za chini kwa chini, kama ambavyo amekuwa akifanya Nyalandu, kuliko kutegemea mikutano ya wazi.
Nguvu kubwa itumike kuwapa watu elimu katika makundi madogo madogo. Watu wakiwa na uelewa, wakapata elimu sahihi, hakuna mtu asiye mnafiki atakayeunga upuuzi kama huu uliotokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Anastahili Mkuu,ni mkomavu kifikra na kimaamuzi,si msemaji sana bali mtendaji ana hekima na ni mjenzi mzuri wa hoja.Hongera sana kwake
Hakika yuko vizuriAnastahili Mkuu,ni mkomavu kifikra na kimaamuzi,si msemaji sana bali mtendaji ana hekima na ni mjenzi mzuri wa hoja.
Linafiki hilooo! Ulitegemea vingine ili uje na uongo wako!Nyalandu hongera Sana kwa ushindi mnono
Wajumbe wamemtendea haki hata Lissu kwani huyu jamaa aliacha ubunge na kila kitu kupinga hatua ya Jiwe kukataza wabunge wa ccm kwenda hospitalini Nairobi kumjulia hali. Wameheshimu maamuzi yakeAnastahili. Kwa muda mfupi aliojiunga, ameonekana akifanya kazi kubwa ya kukiimarisha chama na kujiimarisha yeye mwenyewe. Zilionekana wazi juhudi zake binafsi alizokuwa akizifanya.
Na huyu alijiunga CHADEMA akitokea CCM kwa namna ya pekee kidogo. Nadhani ni mtu wa pili kutoka CCM aliyeamua kuacha ubunge na marupurupu yote. Walio wengi wanajiunga na upinzani baada ya kutemwa na CCM.
Hongera sana Nyalandu. Nina imani, chini ya uongozi wa Nyalandu, kanda ya kati inaenda kubadilika, na kuongeza kanda zenye watu wenye uelewa juu ya umuhimu wa kuwa na watawala wanaoheshima katiba, sheria, haki, uhuru wa maoni na haki za kidemokrasia.
Viongozi wa CHADEMA, ni muhimu sana kutumia mbinu za chini kwa chini, kama ambavyo amekuwa akifanya Nyalandu, kuliko kutegemea mikutano ya wazi.
Nguvu kubwa itumike kuwapa watu elimu katika makundi madogo madogo. Watu wakiwa na uelewa, wakapata elimu sahihi, hakuna mtu asiye mnafiki atakayeunga upuuzi kama huu uliotokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mkuu when the enlightenment comes into people's mind,there in no need of helping them to distinguish between rights and evils,light and darkness,they will see the truth with their own naked eyes and no propaganda will prevail against them.Mkuu kuna kakikundi kasemaga ohh ukiingia jf unaweza hisi nchi inamachafuko...hapana kbs..jamii za watu wa kijijini huko wameshagundua kbs mambo fyongo yanavyoendelea hapa nchini!
Ni juz tu nilikua sehem...mama mmoja nikamtania maisha magumu .akaniambia ole wako usikike na Magu .kuwa maisha magumu ."ameniumiza sana juzi kumwambia mwanaume akaolewe huyu mtu hatuji msahau."..watu wakaanza kutokwa povu pale...!watu wamekuwa na uelewa mkubwa sana!
Asante sana kwa kueleza ukweliHuyu alihamia CDM kwa kuona uovu wa CCM kwa hiyo anastahili hata kupewa cheo zaidi, ni mzalendo wa kweli