Lazaro Nyalandu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kati

Lazaro Nyalandu mwanasiasa mwenye hekima ya hali ya juu ambaye amewahi kuwa Waziri na mbunge kutokea CCM ushindi wake umedhihirisha ndani ya chama wanachama wote wana haki sawa hata kama umejiunga na chama hicho siku za usoni.


Hata yule wa kishindo cha 2015 alianza hivi
 
Leo naona umeandika kwa busara siyo kama ile jana ulipoleta matokeo ya kanda ya kusini.

Ila Mbowe asigombee tena uenyekiti. Anadumaza chama.
 
Huyu alistahili kuwa upinzani,anajitambua na hakuondolewa ubongo wakati wote akiwa Tawala.
Hongera Mnyaturu,umevunja mwiko wa wanaowaaminisha wananchi kuwa kuna ukabila huko ulipo.Kina Lissu,Mnyika,Sugu,Professor Safari, Sumaye,Mch.Msigwa,Mwakajoka,Haonga....nao pia ni Wachaga?Mawazo ya Ukabila hutolewa na watu waliofilisika kisiasa.
Wanaka ktuaminisha kuwa Chama Tawala hakuna ukabila,udini,ukanda na/au undugunization?Tunaona,tunasikia,tunasoma natunaelewa kinachoendelea huko inside the house.
 
Hongera kamanda Nyarandu nakukubali sana toka ulipokataa kumtii SHETANI MKUU wa IKULU na VIBARAKA wake na matendo yao MAOVU, kwa viongozi wa CHADEMA ✌🏾✌🏾✌🏾💪🏾💪🏾💪🏾
 
Pongezi kwako Kamanda Nyarandu. M/Mungu akutangulie na akulinde na hawa VIBARAKA wa SHETANI MKUU wa IKULU na Matendo yao MAOVU, zidi ya viongozi wa CHADEMA.
 
With all due respect Hon. Victoire , would you kindly validate your outspoken statement with vivid, relevant and lively examples as far as those allegations are concerned ?
Mfano ni Sumaye na yule mbunge wa Ndanda.
 



Mkuu kuna kakikundi kasemaga ohh ukiingia jf unaweza hisi nchi inamachafuko...hapana kbs..jamii za watu wa kijijini huko wameshagundua kbs mambo fyongo yanavyoendelea hapa nchini!
Ni juz tu nilikua sehem...mama mmoja nikamtania maisha magumu .akaniambia ole wako usikike na Magu .kuwa maisha magumu ."ameniumiza sana juzi kumwambia mwanaume akaolewe huyu mtu hatuji msahau."..watu wakaanza kutokwa povu pale...!watu wamekuwa na uelewa mkubwa sana!
 
Wajumbe wamemtendea haki hata Lissu kwani huyu jamaa aliacha ubunge na kila kitu kupinga hatua ya Jiwe kukataza wabunge wa ccm kwenda hospitalini Nairobi kumjulia hali. Wameheshimu maamuzi yake
 
Mkuu when the enlightenment comes into people's mind,there in no need of helping them to distinguish between rights and evils,light and darkness,they will see the truth with their own naked eyes and no propaganda will prevail against them.
 
Bravo Munyampaa. ...
Huyu jamaa nakubali sana harakati zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…