johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chawa Huyu [emoji3][emoji3]Lazaro Nyalandu wa Chadema amerejea CCM kupitia mkutano mkuu wa CCM leo jijini Dodoma.
Kazi Iendelee!
Bavicha sasa anzeni kumtukanaCHADEMA kunahitaji wanasiasa wapambanaji na sio watafuta fursa.
Bado yule jasusi mbobeziLazaro Nyalandu wa Chadema amerejea CCM kupitia mkutano mkuu wa CCM leo jijini Dodoma.
Kazi Iendelee!
Naona jinsi mabavicha yatakapoanza kumtukana tena Nyarandunyalandu kumbe ni opportunist.