Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

Ndivyo ninavyosikiliza hapa nikiwa Live kutoka Dodoma.

===
Lazaro Nyalandu amerejea CCM akitokea CHADEMA. Amerejea Aprili 30 katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM ulifanyika Dodoma.

Nyalandu aliwahi kuwa mtia wa kugombea urais kupitia Uchaguzi Mkuu 2020 kupitia CHADEMA. Ambapo katika hotuba yake ameshukuru kwa kumpokea.

Kabla ya kurejea CHADEMA, Nyalandu alikuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kati

Amesema katika nchi ya Ugenini wimbo hauimbiki.

853E5EDC-244D-45D9-9911-77C703643314.jpeg
 
Ndio maana chadema walimtosa kumpa nafasi ya kugombea urais na hata hamna cha maana alichokifanya alipokua huko chadema......
 
Back
Top Bottom