Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Lazaro Nyalandu wa CHADEMA amerejea CCM kupitia mkutano mkuu wa CCM leo jijini Dodoma.
Nyalandu aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema walikuwa wamechukuliwa na walilazimishwa kumwimbia bwana lakini wao pamoja na mzee Lowassa, Sumaye na Dkt. Slaa wamegoma kuimba kwani bwana yuko CCM peke yake.
Nyalandu ameiomba radhi CCM na amewashukuru kwa kumpokea tena.
Kadhalika mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Lindi Dkt. Suleiman Methew naye amerejea CCM alikokuzwa kisiasa.
Kazi Iendelee.
PIA, SOMA=> Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA
FINALLY, following the departure of Mwendazake, the chickens are coming home to roost.
CCM ni ile ile? Mchezo unaanza upya episode 5 round 6. Zama mpya; kitabu kipya. Kaeni chonjo.