Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Hakuna cha polepole wala nini.Labda polepole. Naona sasa hivi umejitambua kiasi chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha polepole wala nini.Labda polepole. Naona sasa hivi umejitambua kiasi chake.
Nimecheka sana kwa kweli.!Nyalandu huyo aliyempelekaga Anti Ezekiel US kutangaza utalii wiki kadhaa, kumbe walienda kufanya ufuska wao
amenMungu ibariki Chadema
Ukitangaza nia kupambana na Magu vijana wake wamesema wata kupoteza. Ndio kauli ya UVCCMCCM safari hii hamna watangaza nia? Hivi 2015 walifika 42?
Wenye kuchora mawe hayaaa, wenye kulia bungeni na wapigwe tu haya.
Jaji mtumishi wa umma kumbe ana kadi ya siri haya, mwenye kuzunguka na Yutong lake na kipara ngoto twendee.
Koboko wa Tabora na kugonga twiga hayaa
Mwenye mvi zake kichwani twendee, haya lile joka la mdimu sawaa
Safari hii thubutuu wote mkia wameukunjia ndani ni mwendo wa pambio kusifu na kumwabudu 'yesu 'wao
Unapenda chadema ww.......Mungu ibariki Chadema
Nyalandu kaninkera.
Ametoa sifa za maris walio pitia hicho kiti Tanzania ila karuka kuelezea kuhusu utawala wa Magu. Hapo tuna weka???? Tuna jiuliza je ataweza kweli kupeperusha bendera ya Chadema???
Nagombea ubunge jimbo la kyela mkuuUnapenda chadema ww.......
gombea hata udiwani basi kama sio ubunge
Safi kwela ipi manake ni kubwa mpaka kule kwa Mwakyembe...Nagombea ubunge jimbo la kyela mkuu
Nyie mna demokrasia?.....yaani hamna tofauti na bus la abiria...nnje limeandikwa KAWE-POSTA lakini linaenda CHALINZE -BAGAMOYO na dereva wake anasema anabadilishia gia angani....safi hii, inadhihirisha kweli hiki ni chama cha kidemokrasia na sio sisiemu ambao wanajiandaa kuwatangazia mburura uchukuaji wa fomu huku ikitolewa ya mtu mmoja
Lissu anawalaza bila nguoWote hao wanakwenda kumzuia lissu,halafu siku ya mwisho mwamba anajitokeza na magongo yake anachukua na kurudisha na kuteuliwa siku hiyo jiyo
Lissu ameona mbali ndio.maana kaomba michango ajitafunie za wajinga mapema
Hizo ni hisia zako. Chama chenye demokrasia kinaruhusu kila mwenye nia achukue fomu. Hebu jaribu kuchukua fomu CCM ndo utakiona cha mtema kuni. Fomu ni moja tu - ya mfalme!Wote hao wanakwenda kumzuia lissu,halafu siku ya mwisho mwamba anajitokeza na magongo yake anachukua na kurudisha na kuteuliwa siku hiyo jiyo
Lissu ameona mbali ndio.maana kaomba michango ajitafunie za wajinga mapema