ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Mie naunga miguu hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa inasemekana eti ana uraia wa Marekani pia; na Marekani ndiyo ilikuwa inamwandaa hasa kipindi cha Obama. Katiba yetu inasemaje kuhusu uraia pacha? Tuanzie hapo kwanza.Nimewasikiliza kwa umakini kabisa kati ya watia nia chadema ni nyalandu ndio amejieleza vizuri vipaumbele vyake naona apitishwe ili tumpigie kura akaturudishie wale wanyama wetu waliosafirishwa usiku wa maneno na mafisadi!
Naona huu ndio wakati mzuri!
Huwa inasemekana eti ana uraia wa Marekani pia; na Marekani ndiyo ilikuwa inamwandaa hasa kipindi cha Obama. Katiba yetu inasemaje kuhusu uraia pacha? Tuanzie hapo kwanza.
Kama hana hiyo dual citizenship nadhani ana exposure na sifa kuliko hao wenzake japo anashutumiwa pia kuwa na makandokando ya ufisadi.
Labda Membe aingie pia lakini kwa sasa Nyalandu ndiye bora zaidi ya wagombea wote waliokwishajitokeza...na wanyama wetu watarudi wote.
Si ulisema Ni zamu ya mwanamke kyela mbona uko Kama kinyongaNagombea ubunge jimbo la kyela mkuu
Na huko alipo ndiko kwenye matambaa ya deki ashakuwa msafi kama lowassa!Nyalandu sio kwamba ana makandokando bali ni moja wa mafisadi papa.
Akipewa nafasi atarudisha ufisadi na ujangili wa maliasili.
Tanzania itarudishwa kulekule ilikotoka kabla ya 2015
Eti nae ni mmarekani!Jamaa huwa simwelewi na kupenda kushabikia mabeberu kama ndugu yake lisu
Sumu haionjwi kwa ulimìAkina Sky Eclat tayari wameshaanza kumchangia Lisu kwa mbwembwe.
Unamaanisha YESU amejitengenezea fomu yake? [emoji3]Hizo ni hisia zako. Chama chenye demokrasia kinaruhusu kila mwenye nia achukue fomu. Hebu jaribu kuchukua fomu CCM ndo utakiona cha mtema kuni. Fomu ni moja tu - ya mfalme!
Huko kwenu si mtume hata maruhani wakachukue fomu au ni mwenye Trademark tu.Mwenye chama chake Mbowe k-vant ameridhia?.mwambieni Nyarandu sumu haionjwi.
Hiyo democracy huwa tunaiona kipindi cha kampeni tu siku zinazobakia watu hawaishi kulia lia....safi hii, inadhihirisha kweli hiki ni chama cha kidemokrasia na sio sisiemu ambao wanajiandaa kuwatangazia mburura uchukuaji wa fomu huku ikitolewa ya mtu mmoja