Lazaro Nyalandu: CCM ya sasa haiheshimu Katiba

Lazaro Nyalandu: CCM ya sasa haiheshimu Katiba

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,671
Reaction score
5,476
Mheshimiwa Lazaro Nyalandu yupo mubashara Wasafi FM. Anasema CCM aliyoiacha si ile ya Mwalimu Nyerere. CCM ya sasa haiheshimu Katiba ya Jamhuri wala katiba ya chama chao.

Anasema akiwa Rais wa Jamhuri, pamoja na mambo mengine mazuri, atahakikisha nchi inapata Katiba mpya.

Anasema atahakikisha PAYE inapunguzwa.

Conclusion: Mheshimiwa Nyarandu ana hekima na upeo mkubwa.
 
Kama haiheshimu katiba angekuwa hapo studio anaongea huo uongo wake? Huo uhuru wa kutoa maoni angeupata?
 
Na kwa ujuwa zaidi mkamfutia tuhuma za kuuza wanyama mlizozitoa wenyewe...

Nashangaa kwann huyu nae hamkumuomba radhi....

Kijana aliyebaki ccm anabusara sana kuliko kujiunga unafki wa upinzani usio serious
Ndio maana aliamua kuondoka CCM, aligoma kukaa na wadhalimu
 
Katiba yao hairuhusu chama kuheshimiwa.Inaruhusu fikra za mwenyekiti Kama ndio mwenye chama na si wanachama
 
Back
Top Bottom