Huku katiba si kipaumbele. kumbuka Lugola alisemaje !!Kwani kuna mtu anaabudiwa hapa Tanzania?
Lugola mnasingizia hakumaanisha vile mnavyosemaHuku katiba si kipaumbele. kumbuka Lugola alisemaje !!
Hata wewe umesema tuhuma. Kwa taarifa yako chombo pekee kinachoweza kufuta tuhuma ni mahakama sio CHADEMA.Na kwa ujuwa zaidi mkamfutia tuhuma za kuuza wanyama mlizozitoa wenyewe...
Nashangaa kwann huyu nae hamkumuomba radhi....
Kijana aliyebaki ccm anabusara sana kuliko kujiunga unafki wa upinzani usio serious
Hata wewe umesema tuhuma. Kwa taarifa yako chombo pekee kinachoweza kufuta tuhuma ni mahakama sio CHADEMA.
Chadema vichwa vya panzi. Pia ni dampo la vitu vilivyo-expire.
Hata wewe umesema tuhuma. Kwa taarifa yako chombo pekee kinachoweza kufuta tuhuma ni mahakama sio CHADEMA.
NiwekeeNikuwekee comment yako kwa kumsifu Msigwa alipokuwa anamsafisha Kinana?
[emoji3][emoji3]
Leo anayefaa kusafisha ni polisi
Niwekee
Ila chadema iliyomtuhumu kwa ujangili ikaona anafaa sanaNdio maana aliamua kuondoka CCM, aligoma kukaa na wadhalimu
Mambo mengine mbona mnajidanganya sana jamani?Jiwe huko aliko anafura!!
Nitunzie hivyo hivyoNakutunzia heshima kaka...[emoji3]
Kuipenda nchi ni kufanyaje?Si umesema wewe Mami ?! Hatutakiwi kuabudu mtu. Tuipende nchi yetu
Crimea, kwa akili zako hata ukielezwa hutaelewa [emoji120]Kuipenda nchi ni kufanyaje?
Najua bhana, kuipenda nchi ni kuishabikia chademaCrimea, kwa akili zako hata ukielezwa hutaelewa [emoji120]
Tumeingiliwa na jitu linaitwa NDULI MAGU.Chadema vichwa vya panzi. Pia ni dampo la vitu vilivyo-expire.