anakosoa utawala wa magufuli kwa kupeleka wapinzani magerezani kwa kesi za kubambiaHuyo arudishe kwanza twiga wetu aliyopora ndio tutamsikiliza
Jangili hana sifa za kukosoa chochote
anakosoa utawala wa magufuli kwa kupeleka wapinzani magerezani kwa kesi za kubambia
Ndio maana aliamua kuondoka CCM, aligoma kukaa na wadhalimuSame was happening alipokuwa madarakani
Na hakukemea..
plus chadema tulimtuhumu huyu jamaa...
Mkuu unajua kazi yake huko chademaNdio maana aliamua kuondoka CCM, aligoma kukaa na wadhalimu
Ndio maana aliamua kuondoka CCM, aligoma kukaa na wadhalimu
kwa iyo kukiwa na uhuru tu wa kutoa maoni basi katiba inakuwa imeheshimiwa???Kama haiheshimu katiba angekuwa hapo studio anaongea huo uongo wake? Huo uhuru wa kutoa maoni angeupata?
Chadema vichwa vya panzi. Pia ni dampo la vitu vilivyo-expire.Same was happening alipokuwa madarakani
Na hakukemea..
plus chadema tulimtuhumu huyu jamaa...
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. Nimetamani sana wananchi wanaojielewa kama wa Gambia , Nigeria, Malawi Ghana nk.Kama haiheshimu katiba angekuwa hapo studio anaongea huo uongo wake? Huo uhuru wa kutoa maoni angeupata?
Kwa hiyo wa Tanzania hawajielewi?Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. Nimetamani sana wananchi wanaojielewa kama wa Gambia , Nigeria, Malawi Ghana nk.
Si umesema wewe Mami ?! Hatutakiwi kuabudu mtu. Tuipende nchi yetuKwa hiyo wa Tanzania hawajielewi?
Kwani kuna mtu anaabudiwa hapa Tanzania?Si umesema wewe Mami ?! Hatutakiwi kuabudu mtu. Tuipende nchi yetu