kumbe habari kuwa waziri wa tz yupo ktk majukumu yake ya kuliwakilisha taifa ktk jumuia za kimataifa ni taarifa za kiintelijensia!!?btw hii UWT(sijui ndio Umoja wa Wanawake Tanzania:lol🙂 inabidi ujivue gamba.
Mh.Lazaro Nyalandu
Kwa wale wapika majungu mliokua mkitumiwa kueneza uzushi humu ndani eti kwamba mheshimiwa LAZARO NYALANDU hatakiwi kukanyaga marekani sikilizeni hii latest toka kwangu na muache uzandiki kuanzia leo nasisitiza mheshimiwa so far ni miongoni mwa mawaziri wa jk ambae hana kashfa labda mumtafutie nyingine.
Kwa taarifa za "kiintelijensia" zilizofika mezani kwangu toka kwenye "corridor za uwt" mheshimiwa NYALANDU kwa sasa yuko Addis Ababa akiiwakilisha nchi for AU Conference,and he is schedulled to be in Washington DC on wednesday next week for two days breakfast meeting with the leadership there!
Habari ndio hiyo,mwenye kununa anune mwenye kucheka acheke lakini kimeeleweka!..........Invisible na wenzako salam zenu hizi,ha ha haaa.......sasa tuone jinsi atakavyokamatwa airport ndani ya us akajibu yale "mashtaka yako" ya kubaka!
urais kwa viongozi wa ccm ni deal.unaingia ikulu unafanya ufisadi na madudu yako, unamaliza muda wako wa urais,unajigawia miradi fulani kama pensheni unapumzika ukiwa na kinga ya kutoshitakiwa.kwa mazingira haya yanavutia kwa mtu kuwekeza katika mbio za urais kupitia ccm.labda katiba ibadilike.mungu ibariki tanzania.mh!mbona marais wa 2015 ni wengi hivi?sipati picha.........
LAZ hajamwakilisha JK AU kwa sababu Al Hajj Membe yupo huko na swahiba wake JK
Mh.Lazaro Nyalandu
Kwa wale wapika majungu mliokua mkitumiwa kueneza uzushi humu ndani eti kwamba mheshimiwa LAZARO NYALANDU hatakiwi kukanyaga marekani sikilizeni hii latest toka kwangu na muache uzandiki kuanzia leo nasisitiza mheshimiwa so far ni miongoni mwa mawaziri wa jk ambae hana kashfa labda mumtafutie nyingine.
Kwa taarifa za "kiintelijensia" zilizofika mezani kwangu toka kwenye "corridor za uwt" mheshimiwa NYALANDU kwa sasa yuko Addis Ababa akiiwakilisha nchi for AU Conference,and he is schedulled to be in Washington DC on wednesday next week for two days breakfast meeting with the leadership there!
Habari ndio hiyo,mwenye kununa anune mwenye kucheka acheke lakini kimeeleweka!..........Invisible na wenzako salam zenu hizi,ha ha haaa.......sasa tuone jinsi atakavyokamatwa airport ndani ya us akajibu yale "mashtaka yako" ya kubaka!
kumbe habari kuwa waziri wa tz yupo ktk majukumu yake ya kuliwakilisha taifa ktk jumuia za kimataifa ni taarifa za kiintelijensia!!?btw hii UWT(sijui ndio Umoja wa Wanawake Tanzania:lol🙂 inabidi ujivue gamba.
LAZ hajamwakilisha JK AU kwa sababu Al Hajj Membe yupo huko na swahiba wake JK
Ushahidi huu hapa
MICHUZI: JK awasili mjini addis Ababa kuhudhulia Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika
lete uwongo mwingine
Yah..habari ndio hiyo,si unajua siku hizi bongo kila habari ni ya kiintelijensia kutoka corridoni!!!! jamaa ambae tuliaminishwa alikimbia kesi ya kubaka US,Next week anajipeleka mwenyewe huko anakotafutwa kwa ubakaji,sasa tuna shauku ya kuona akikamatwa na kuburuzwa mahakamani kujibu mashtaka.
Ndugu yetu wewe ndio Umechanganyikiwa Jaribu kumweka January Makamba kwenye ndege kuja USA na Sio Nyalandu, Nyalandu yeye and Kadi ya Kijani ya USA yeye ni salama salimini kuja USA...
Mh.Lazaro Nyalandu
Kwa wale wapika majungu mliokua mkitumiwa kueneza uzushi humu ndani eti kwamba mheshimiwa LAZARO NYALANDU hatakiwi kukanyaga marekani sikilizeni hii latest toka kwangu na muache uzandiki kuanzia leo nasisitiza mheshimiwa so far ni miongoni mwa mawaziri wa jk ambae hana kashfa labda mumtafutie nyingine.
Kwa taarifa za "kiintelijensia" zilizofika mezani kwangu toka kwenye "corridor za uwt" mheshimiwa NYALANDU kwa sasa yuko Addis Ababa akiiwakilisha nchi for AU Conference,and he is schedulled to be in Washington DC on wednesday next week for two days breakfast meeting with the leadership there!
Habari ndio hiyo,mwenye kununa anune mwenye kucheka acheke lakini kimeeleweka!..........Invisible na wenzako salam zenu hizi,ha ha haaa.......sasa tuone jinsi atakavyokamatwa airport ndani ya us akajibu yale "mashtaka yako" ya kubaka!
Sina uhakika kama post hii imeandikwa na mtu mwenye akili timamu, au wewe ndio nyalandu?
Ndugu yetu wewe ndio Umechanganyikiwa Jaribu kumweka January Makamba kwenye ndege kuja USA na Sio Nyalandu, Nyalandu yeye and Kadi ya Kijani ya USA yeye ni salama salimini kuja USA...
Tulia na Upumzike - Jaribu tu kumleta kaka Makamba...
Eeeh!sasa hivi imekua januari sio?ok bwana mimi nilikua naweka sawa kuhusu nyalandu ambae uzushi ulienezwa humu kwa kasi ya ajabu kwamba hawezi kukanyaga US,Ya januari simo!