Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wakati David Cameron alipotakaka haki za mashoga ziheshimiwe Watanzania wengi hatukumuelewa, natumaini sasa mtamuelewa vizuri kwa kuona ukubwa wa tatizo ulivyo.Kama mtoa habari si mwanamke naombeni namba yake.
ndg. naona umejipanga kweli kumtetea huyu m2.amekuolea dadako!!?Ni kosa, lakini kwangu siwezi mtuhumu kama ni kosa la mauaji sababu level ya kosa lake ni dogo kwangu, ukilinganisha na makosa yanayofanywa na hao hao walio tendewa kosa haswa pale wanapotaka kuboresha maisha ya raia wao.
Kwa yeyete aliye ishi nje ya nchi haswa USA anafahamu kua , kusaidia watu kuingia USa ni jambo la kawaida sana na asilimia 99 ya walio usa wamengia kwa kugushi , wamepata kazi kwa kughushi na hata uhalali walio upata kuishi hapo udanganyifu umetumika .
Kwa Nyalandu kufanya yaliofanyika haalikua ni jambo la ajabu kwa jumuiya za wageni na kinawezwa kitwa kitendo cha kizalendo zaidi. Pia hata ukizingatia umri wake ulikua mdogo ,baadhi ya maamuzi yanaweza kuwa hayakua sahihi kipindi hicho . Ukizingatia jamii iliyo mzunguka ilikua inakubaliana na kinachofanyika.
Haya mengine yote ni chuki binafsi,tuanze kumjadili Nyalandu kwa sasa anachokifanya kama waziri mwenye dhamana sio past yale , ambayo alikua kijana zadi .
Wakati David Cameron alipotakaka haki za mashoga ziheshimiwe Watanzania wengi hatukumuelewa, natumaini sasa mtamuelewa vizuri kwa kuona ukubwa wa tatizo ulivyo.
Mwanaume kumshabikia mwanaume mwenzake wewe unadhani hapo kuna usalama?
Acha ushamba kijana,kwanza unajuaje kama mimi mwanaume?na pili issue hapa sio ushabiki bali ukweli unaotokana na upotoshaji wa awali,tunasaidia kuwapa ukweli msidanganyike.
Maneno kuntu haya!!si kila anayeweza kumjaza mwanamke mimba ni mwanamme.
Maneno kuntu haya!!
mlioko marekani,lilireport hilo linyalandu....kama linakuja huko,inawezekana authorities...haziko aware.....undava undava tu!
si kila anayeweza kumjaza mwanamke mimba ni mwanamme.
huyu ni bwana mdogo wetu, enzi zile kibaha ( scandia) tukiongea mambo ya vyama vingi alikuwa bado anapangusa kamasi kwa pembe ya shati.
Maneno kuntu haya!!