Ni kosa, lakini kwangu siwezi mtuhumu kama ni kosa la mauaji sababu level ya kosa lake ni dogo kwangu, ukilinganisha na makosa yanayofanywa na hao hao walio tendewa kosa haswa pale wanapotaka kuboresha maisha ya raia wao.
Kwa yeyete aliye ishi nje ya nchi haswa USA anafahamu kua , kusaidia watu kuingia USa ni jambo la kawaida sana na asilimia 99 ya walio usa wamengia kwa kugushi , wamepata kazi kwa kughushi na hata uhalali walio upata kuishi hapo udanganyifu umetumika .
Kwa Nyalandu kufanya yaliofanyika haalikua ni jambo la ajabu kwa jumuiya za wageni na kinawezwa kitwa kitendo cha kizalendo zaidi. Pia hata ukizingatia umri wake ulikua mdogo ,baadhi ya maamuzi yanaweza kuwa hayakua sahihi kipindi hicho . Ukizingatia jamii iliyo mzunguka ilikua inakubaliana na kinachofanyika.
Haya mengine yote ni chuki binafsi,tuanze kumjadili Nyalandu kwa sasa anachokifanya kama waziri mwenye dhamana sio past yale , ambayo alikua kijana zadi .