Lazaro Nyalandu na Aunt Ezekiel Wachanwa Bungeni!!!

Lazaro Nyalandu na Aunt Ezekiel Wachanwa Bungeni!!!




Jana wakati mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema , akichangia hoja Bungeni nakudai kuwa mawaziri wengi hawana ubunifu nakumrushia “bomu” Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuwa anazunguka nje ya nchi na msichana kwa madai ya kutangaza utalii.
Lema alisema;
“Angalia Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu alikwenda kutangaza utalii nje ya nchi akiwa ameongozana na (mwigizaji maarufu wa filamu wa hapa Bongo) Anti Ezekiel,” alisema na kuongeza kuwa waziri huyo hashindi ofisini kwa kisingizio cha kutangaza utalii.
Picha za wawili hawa wakiwa nchini Marekani wakitangaza utalii zilisambaa sana mtandaoni mwaka jana na kizua stori nyingi juu kile kilichofanyika.
Picha : Waziri Nyalandu akiwana Aunty Ezekiel pamoja na DJ Luke (wakatikati) wakitangaza Utalii, New York, Marekani.
Lakini hivi kuna ubaya gani Staa wetu kushirikiana na waziri katika kutangaza UTALIIII?!!!!
kutangaza utalii hakujawahi kuwaacha bongo muvi salama
 
Ama kweli mawaziri wa namna hii ndio waliokuwa wanaichafua CCM.
Hakika CCM inarejea kwenye misingi
 
Kwa uzi huu wachangiaji watakuwa wachaaaaaache. Wanakula sana matapishi yao hao.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji573] [emoji573] [emoji573]
 
Teh teh asinge wavua nguo haya msingeyasema. Leo hata ufunguzi wa kiwanda tupa kule. tuna member mpya CHADEMA
 
Back
Top Bottom