Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kutangaza utalii hakujawahi kuwaacha bongo muvi salama![]()
Jana wakati mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema , akichangia hoja Bungeni nakudai kuwa mawaziri wengi hawana ubunifu nakumrushia bomu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuwa anazunguka nje ya nchi na msichana kwa madai ya kutangaza utalii.
Lema alisema;
Angalia Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu alikwenda kutangaza utalii nje ya nchi akiwa ameongozana na (mwigizaji maarufu wa filamu wa hapa Bongo) Anti Ezekiel, alisema na kuongeza kuwa waziri huyo hashindi ofisini kwa kisingizio cha kutangaza utalii.
Picha za wawili hawa wakiwa nchini Marekani wakitangaza utalii zilisambaa sana mtandaoni mwaka jana na kizua stori nyingi juu kile kilichofanyika.
Picha : Waziri Nyalandu akiwana Aunty Ezekiel pamoja na DJ Luke (wakatikati) wakitangaza Utalii, New York, Marekani.
Lakini hivi kuna ubaya gani Staa wetu kushirikiana na waziri katika kutangaza UTALIIII?!!!!
hhahahahahaahHii picha hadi nyalandu mwenyewe aliona aibu
mmmh!Haya mambo ndio yanayofanya Magufuli achukiwe, sasa unategemea ant Ezekiel na Nyalandu wampende Magufuli?
mumy kumbe upo yaani daddy siku hizi kakututupa kabisa tuko kama yatima vileeeMkuu nimejikuta nacheka baada ya kusoma ulichoandika. Labda huwa wanawapa darasa la kujua baadhi ya mambo waweze kutangaza utalii kama ni kweli alikwenda huko kwa Kazi hiyo
Cha kufanya ni kina Nassari kufuta kauli tuMtaibua vyote,mpelekeni Mahakama za Mafisadi period hata mengine hayasaidii kesho toka huko
Kwani maneno hayo yaliongelewa na mwanaccm?akiwa uko alikuwa jembe saiv afai! kweli nyani haoni kundule[emoji115] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji12] [emoji12]