Lazaro Nyalandu na Aunt Ezekiel Wachanwa Bungeni!!!

kutangaza utalii hakujawahi kuwaacha bongo muvi salama
 
akiwa uko alikuwa jembe saiv afai! kweli nyani haoni kundule[emoji115] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji12] [emoji12]
 
Ama kweli mawaziri wa namna hii ndio waliokuwa wanaichafua CCM.
Hakika CCM inarejea kwenye misingi
 
Kwa uzi huu wachangiaji watakuwa wachaaaaaache. Wanakula sana matapishi yao hao.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji573] [emoji573] [emoji573]
 
Teh teh asinge wavua nguo haya msingeyasema. Leo hata ufunguzi wa kiwanda tupa kule. tuna member mpya CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…