Lazaro Nyalandu na Aunt Ezekiel Wachanwa Bungeni!!!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
AUNTY_EZEKIEL456.jpg

Jana wakati mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema , akichangia hoja Bungeni nakudai kuwa mawaziri wengi hawana ubunifu nakumrushia “bomu” Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuwa anazunguka nje ya nchi na msichana kwa madai ya kutangaza utalii.

Lema alisema;
“Angalia Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu alikwenda kutangaza utalii nje ya nchi akiwa ameongozana na (mwigizaji maarufu wa filamu wa hapa Bongo) Anti Ezekiel,” alisema na kuongeza kuwa waziri huyo hashindi ofisini kwa kisingizio cha kutangaza utalii.
Picha za wawili hawa wakiwa nchini Marekani wakitangaza utalii zilisambaa sana mtandaoni mwaka jana na kizua stori nyingi juu kile kilichofanyika.
Picha : Waziri Nyalandu akiwana Aunty Ezekiel pamoja na DJ Luke (wakatikati) wakitangaza Utalii, New York, Marekani.
Lakini hivi kuna ubaya gani Staa wetu kushirikiana na waziri katika kutangaza UTALIIII?!!!!
 
Lema anaona gere! Nyalandu anavyowaputa mareceptionists wa Hotel za kitalii Arusha, Mh Waziri ni sheeedah
 
Hao watakuwa walitangaza utalii wa picha za ngono na uchangudoa..na sio wa maliasili maana ndio fani anayoiweza huyo mrembo..kwani huyo dada anaonekana hata hajui..kuwa mlima kilimanjaro una urefu gani...
 
Akili zako ni shidaah! Utakuwa umezidiwa bange na mirungi si bure
 
Mkuu nimejikuta nacheka baada ya kusoma ulichoandika. Labda huwa wanawapa darasa la kujua baadhi ya mambo waweze kutangaza utalii kama ni kweli alikwenda huko kwa Kazi hiyo
 
Sasa kama mtu ameshindwa elimu kwa miaka mingi aliyokaa shuleni ataelewa kwa semina ya wiki moja...alafu kwa kidhungu...kweli wewe unaamini...??
 
Akili zako ni shidaah! Utakuwa umezidiwa bange na mirungi si bure

Kwani uongo?? Hata haongei vibahasha tu vinatembea mapokezi sio Lema domo gundi hadi akambaka Mbuta Nanga..
 
Hata mkewe si alikua miss tz... wangesaidia pia...tena mkewe ana elimu kkushinda huyo anti na kidhungu anaongea safi kabsa
 
Sasa kama mtu ameshindwa elimu kwa miaka mingi aliyokaa shuleni ataelewa kwa semina ya wiki moja...alafu kwa kidhungu...kweli wewe unaamini...??

Ni sheeda ndugu but ndo hivyo kodi yetu ishatumika mtu kukwea pipa na allowances
 
Mtangaza utalii ana kigauni kama lady Gaga!! Hapo watalii lazima wahisi mmarekani mwenzao(kasoro english) ndio anatumika kuwapa habari za neema za Tanzania
 
mmmh skirt sasa na those sexy legs na mh pembeni only god knows...napita
 
Jana wakati mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema , akichangia hoja Bungeni nakudai kuwa mawaziri wengi hawana ubunifu nakumrushia “bomu” Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuwa anazunguka nje ya nchi na msichana kwa madai ya kutangaza utalii.
Lema alisema;
“Angalia Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu alikwenda kutangaza utalii nje ya nchi akiwa ameongozana na (mwigizaji maarufu wa filamu wa hapa Bongo) Anti Ezekiel,” alisema na kuongeza kuwa waziri huyo hashindi ofisini kwa kisingizio cha kutangaza utalii.
Picha za wawili hawa wakiwa nchini Marekani wakitangaza utalii zilisambaa sana mtandaoni mwaka jana na kizua stori nyingi juu kile kilichofanyika.
Picha : Waziri Nyalandu akiwana Aunty Ezekiel pamoja na DJ Luke (wakatikati) wakitangaza Utalii, New York, Marekani.
Lakini hivi kuna ubaya gani Staa wetu kushirikiana na waziri katika kutangaza UTALIIII?!!!!

Hakuna ubaya wowote! Kama job descriptions hazimzuii kufanya hivyo! !!
 
Yaani ningekuwa mimi ndio waziri ningegawa dozi kama ifuatavyo
Vitatu wakati tunajiandaa kulala, kimoja katikati ya usiku, kimoja cha asubuhi na viwili mchana baada ya semina ya kutangaza mlima kilimanjaro. Aisee vyeo vingine raha
 
Pongezi kwako!!
 
Back
Top Bottom